Tyson Fury, Cain ndani ya WWE

Tyson Fury, Cain ndani ya WWE

screpa

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Posts
10,857
Reaction score
15,866
Kama walivyowahi kufanya huko nyuma kina Mike Tyson, Floyd Mayweather, Rounda Rousey n.k naona WWE wameamua kuwachukua Bondia bingwa wa uzito wa juu 'Tyson Fury' na bingwa wa zamani wa UFC uzito wa juu mmexico 'Cain Velasquez' kushiriki kwenye event kadhaa, hii imekaa kibiashara zaidi naona lengo ni kupandisha ratings za WWE maana currently inaonesha zimeshuka sana, kwa maana hata sisi wapenzi wa 'real sports' tutalazimika kuangalia hayo maigizo[emoji3][emoji3]. Anyway nasubiria kwa hamu hizo mechi btn Cain vs Lesnar na Fury vs Strowman
Screenshot_20191010-074009_1570682458258.jpeg
 
Nina hamu ya kuiona hiyo Tyson Fury VS Strowman. Sijajua wata-adapt sheria zipi? Lakini Strowman sio wa kumkimbilia
 
Back
Top Bottom