Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna sheria ya TCRA inalazimisha mataasisi na makampuni local kutumia .tzFaida za .tz ni zipi hasa? Binafsi naona bora niwe na .com kuliko .tz.
Kuna sheria ya TCRA inalazimisha mataasisi na makampuni local kutumia .tz
Nyingine Unanunua Host Ya mwaka mzimaEt kuweni wazalendo iyo pesa nikitoa elfu mbili nanunua .com godady nyingine nakinywa coca alaa
Tsh. 95,000/= ni ghali sana kwa manunuzi ya domain pekee.. avarage price kwa TLD including .com, .net, .org providers dunian ni kati ya 5$ - 9usd
Ni aibu kubwa sana kama kwel tumeshatambua nia yetu ya dhati kushindana kwenye soko la dunia ya teknolojia
Hii nchi haiko serious aisee! 95 elfu?Habari wanajamvi,
Hapo nyuma, niliuliza swali. Hili hapa:
View attachment 2135040
Leo asubuhi nilipata email kutoka Dudumizi, kuwa reservation zimeanza. Nilipiga simu DuHosting, wakaelezea yafuatayo:
Kuna majina ambayo yamekuwa reserved na TCRA, kwa mfano majina ya mikoa, majina maarufu etc.
- Sasa hivi wanafanya reservation, kama ulisharegister jina lolote lenye format ya .xx.tz (iwe .co.tz, .ac.tz etc). Reservation inafanywa between sasa na July 2022. Opoortunity ya kwanza inatolewa kwa wale ambao wana domain tayari, na majina lazima yamatch (kama ilikuwa samedi.co.tz, utaweza kuregister samedi.tz)
- Next in line ni wale wenye trademark. Kama uliregister BRELA, unaweza kuclaim .tz domain hata kama ulikuwa hujaregister awali.
- Mwisho itawekwa open kwa raia baada ya mwezi wa saba.
Binafsi nina furaha kuu kwa kuwa hatimaye tuna hii fursa.
maanina zaoKuna sheria ya TCRA inalazimisha mataasisi na makampuni local kutumia .tz