Tz iko wapi kwenye 4th Industrial Revolution?

Tz iko wapi kwenye 4th Industrial Revolution?

Filosofia ya Rorya

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2021
Posts
3,211
Reaction score
3,611
Dunia iko kwenye mapinduzi ya nne ya viwanda (4th Industrial Revolution). Katika hili, Tz kama taifa iko kwenye stage gani? 1st, 2nd, 3rd au 4th? Na katika stage iliyopo vipi ni viashiria kwamba iko kwenye stage hiyo? Na kwanini iko kwenye stage hiyo? Kilichoifikisha au kuishikilia kwenye stage hiyo ni nini?, mchawi ni nani? Mfanikishaji ni nani? Tujadili.
 
Dunia iko kwenye mapinduzi ya nne ya viwanda (4th Industrial Revolution). Katika hili, Tz kama taifa iko kwenye stage gani? 1st, 2nd, 3rd au 4th? Na katika stage iliyopo vipi ni viashiria kwamba iko kwenye stage hiyo? Na kwanini iko kwenye stage hiyo? Kilichoifikisha au kuishikilia kwenye stage hiyo ni nini, mchawi ni nani? Mfanikishaji ni nani? Tujadili.
Unafahamu maana ya hizo Generation?

Unafahamu utofauti wa Generation moja kwenda nyingine?

Dunia ipo kwenye 4th Generation unajua maana yake?

Tunapoongelea ICT? unafahamu ilianza lini?

Kwa ufupi there is nothing new Katika Generation isipokuwa uvumbuzi mpya wa Teknolojia ambao ulishindikana kwenye Era moja ya maisha

Kuna wakati Dunia ilipita kipindi cha karne nyingi bila uvumbuzi mpya,

Dunia ilijaa uchawi na ushirikina, Na huu uchawi ulaya ulitapakaa


Kwa Tanzania penda usipende lazima utavutwa tu na teknolojia, Kwa sasa huwezi baki peke yako

Teknolojia itakulazimisha uingie tu kwenye Generation mpya

Tayari watu wengi wapo Generation ya nne Tanzania labda huko vijijini ambako hakuna umeme na internet
 
Unafahamu maana ya hizo Generation?

Unafahamu utofauti wa Generation moja kwenda nyingine?

Dunia ipo kwenye 4th Generation unajua maana yake?

Tunapoongelea ICT? unafahamu ilianza lini?

Kwa ufupi there is nothing new Katika Generation isipokuwa uvumbuzi mpya wa Teknolojia ambao ulishindikana kwenye Era moja ya maisha

Kuna wakati Dunia ilipita kipindi cha karne nyingi bila uvumbuzi mpya,

Dunia ilijaa uchawi na ushirikina, Na huu uchawi ulaya ulitapakaa


Kwa Tanzania penda usipende lazima utavutwa tu na teknolojia, Kwa sasa huwezi baki peke yako

Teknolojia itakulazimisha uingie tu kwenye Generation mpya

Tayari watu wengi wapo Generation ya nne Tanzania labda huko vijijini ambako hakuna umeme na internet

Nimedesa hivi:​

When was the industrial revolution timeline?
The time period of the industrial revolution was 1750 to 1914. The industrial revolution occurred in two distinct phases: the first industrial revolution, between 1750 and 1850, and the second industrial revolution, between 1850 and 1914.

How the industrial revolution changed the world?​

The Industrial Revolution transformed economies that had been based on agriculture and handicrafts into economies based on large-scale industry, mechanized manufacturing, and the factory system. New machines, new power sources, and new ways of organizing work made existing industries more productive and efficient.

Why was the industrial revolution bad?​

Although there are several positives to the Industrial Revolution there were also many negative elements, including: poor working conditions, poor living conditions, low wages, child labor, and pollution. Industrial towns contained many polluting factories. Child Labor (Mining) in the Industrial Revolution.

What are the most significant effects of the Industrial Revolution?​

The Industrial Revolution had many positive effects. Among those was an increase in wealth, the production of goods, and the standard of living. People had access to healthier diets, better housing, and cheaper goods. In addition, education increased during the Industrial Revolution.

What are the positive effects of industrialization?​

Industrialization has enormously positive impacts on wages, productivity, wealth generation, social mobility and standard of living. During industrialization, all wages tend to rise, though the wages of some rise much faster than others.

Is industrial revolution good or bad?​

Life generally improved, but the industrial revolution also proved harmful. Pollution increased, working conditions were harmful, and capitalists employed women and young children, making them work long and hard hours. The industrial revolution was a time for change.

Did the benefits of the industrial revolution outweigh the costs?​

The benefits of industrialization definitely outweighed the costs. Without industrialization, America would have never had a head start on having and continuing the prospering economy that they earned through some of the rough spots of industrialization.

Tanzania tuko wapi katika hayo hapo juu? Tujadiliane.

Source.
Mvorganizing.org
 
Back
Top Bottom