Tetesi: Tz kupewa 9.4M na nchi ya mabeberu Finland

Just say that when it comes to english you are a functional illiterate, and I will understand.

Yessss,sijui vizuri english!!..

Jaribu kuandika kwa kiswahili labda nitajaribu kuisoma,kwa maana kiswahili huvutia macho ya wengi wenye kujitambua

Andika kwa kiswahili!!
 
Tough luck, I am articulate in both but I prefer english, just to see Tanzanians fumble over simple expressions. It is almost like a comedy show that I do not have to write.
 
Just say that when it comes to english you are a functional illiterate, and I will understand. I noticed that from your atrocious vocabulary and grammar.
The guy is the true definition of a fool. Look at the writings, can't place punctuation marks in their appropriate area.
 
sema utakalo but it won't change the fact that those screenshots were not taken by me..
Mliitisha evidence ya ombaomba nikawaletea. Nadhani yule aliyeSS aliogopa kutumia simu nzuri isije ikapasuka kioo
Tatizo hizi monkey za kikenya zimekomaa hakuna mwanaume anaweza kuzionga Simu ya maana labda kama hii yangu ya kijeshi watapewa
 
Hivi huyu Rais anatumia mbinu gani? Yaani kila kuchao anawadhalilisha mabeberu nao wana bishana milango ikulu wampe pesa ya bure.
Hana hata wakati nao hawa tembelei.
Kenyatta kila siku yupo angani na anarudi mkono tupu
Maajabu haya
View attachment 1157204
Hizo si pesa za bure!, Wametoa $9 million kwa program ya "panda miti kibiashara" Finland wanamaliza misitu yao kwasababu ya logging ya kutengeneza mbao, hizo hela wataziregesha wakishaanza kuvuna miti huko kwenu... na kwavile waliwasaidia kuipanda mtakua hamna budi ila kuwauzia mbao kwa bei rahisi, wakimaliza na miti waliopanda watafwata hata ile ambayo hawakupanda, mwishoowe mtajikuta hamna misitu tena kama vile wanavyofanya huko kwao.... Mnaendeleza desturi ya Africa kuwa shamba la wazungu kuvuna malighafi alafu watuuzie finished product

---------------------
Plans to increase logging in Finnish forests will have dire impacts on the climate; yet the Finnish government is ignoring evidence and denigrating scientists.
Meanwhile, as a critical EU decision looms on how to count emissions from forests, the Finns are frantically lobbying to make them as weak as possible.
Finland is at the heart of a dispute which will have profound implications for EU Member States’ attempts to reduce their carbon emissions.
Over the past two years it has expended vast political capital lobbying the EU to weaken its rules on how members account for emissions from forests and land.

-------------------------

---------------------------------
Environmental Issues of Finland
Finland has a long history of logging and the industry has had a significant negative effect on the native forest ecosystem. According to the World Wildlife Fund (WWF), approximately 700 forest species in Finland are classified as endangered due to logging. The WWF has said the country’s insufficiently small nature reserves and lack of old trees exacerbates this problem.
In addition to affecting forest biodiversity, the Finnish logging industry has played a part in contaminating rivers and groundwater, with fertilizers from the agriculture industry also adding to this pollution.

image.axd

Logging in Finland has contributed to contamination of rivers and groundwater as well as having a big impact on forest biodiversity. Image Credits: Taina Sohlman/shutterstock.com

---------------------------------------------------
Nothing is Free my friend
 
Kwa hivyo unasema Tanzania inakopesheka?
Kweli hatua za JPM zipo wazi mchana kweupe..Mbeleni hakuna aliyetaka kukopesha Tz
 
Sijaongelea lolote kuhusu kukopeshwa....
Hio hela wamewapatia bure ila wanajua ni wapi itarudi.... miaka mitano hadi kumi kutoka sasa utaskia, 'Finland company given exclusive logging rights to some forests in Tz' ... hapo ndo wataregesha hela zao.... Kitegemezi chenu JPM atakua alishamaliza muhula wake na ameketii Chato akila samaki wa nazi na Raila!

Hauwezi niambia ni kwa roho safi, nchi ambayo inongoza EU kwa kumaliza miti na ku lobby nchi nyengine ziondoe sheria za kulinda mazingira, ikitoa hela za bure kwa nchi nyengine ili wapande miti kwa biashara... .... Kama wameharibu mazingira na kuchafua mito huko kwao unafikiri watafanya nini kwa nchi ambayo si yao???
 
Kwa hivyo Tz wamepewa mkopo/Pesa bila riba wafanyie biashara? Naona basi JPM ni shupavu sana kwa biz..Hayo maeneo yange kaa tu pori kama alivyo acha Nyerere..
Wacha mzee achape kazi
 
Fikiria ki hivi na huu mfano...
China inajulikana duniani kote kwa kununua pembe zilizo na Ivory na kusababisha biashara ya poaching kunoga huku Africa na kutumalizia wanyama wetu... Hivi leo hii Kenya ikiamua inaregesha legal and commercial hunting of big 5 animals alafu itangazwe kwamba China imeamua kutupatia $10m kwa project ya serekali ya kuanza kutayarisha mbuga zetu ziwe tayari for commercial hunting......... Tunafaa kusherehekea kwamba eti China wametupatia $10m za bure ili tulee nzovu wengi kweli??????? Hizo si pesa za bure!!!! tunajua wakati ndovu,simba,kifaru wameanza kuzaana kwa wingi, wachina ndo watakuja kwa wingi na kujazana misituni kuwinda hao wanyama, na kwavile huko kwao walishamaliza wanyama wote wenye Ivory na kushindwa kujizulia walipoanza kuona wanyama wamepungua kupita kiasi, tunajua hawatatuonea huruma, watahakikisha wamesafisha misitu kabisa...

Tukitumia mfano kama huo kwa Finland ambao wamevuna misitu yao kupita kiasi na wameshindwa kujizulia kumaliza misitu.... Sasa vile wamewapatiaTZ hela za bure mpande miti kwa wingi, tukiangalia logically, hio miti ikishamea na warudi kuvuna, hawana historia yoyote ya kulinda mazingira kwahivyo si ndoto kwamba hawatatia juhudi zozote kuhakikisha watalinda mazingira yenu wakishaanza kuvuna miti, wataendelea kuvuna hata ile ambayo hawakupanda kama vile walivyofanya huko kwao
 
Story mingi sana 😂😂😂 pesa ipo wacha tuwapandie miti waje wanunue furniture na vitu vya mbao humu.Haya mapori yamekaa tupu mda mrefu sana..Miti kutishaa kata yote turudi humo humo tukope tena
 
Naona leo mtu amekubali yeye ni bongolala
 
Back
Top Bottom