ivi tatizo ni wanafunzi,walimu au serikali yetu..mona haya mambo yanasikitisha sana..wakati huo waeshimiwa wanaongeza greds za kufaulu akati..hata iyo moja haipatikani..
Huyu mwanafunzi kazidi upumbavu yani hata jina lake hawezi kuliandika nakati yupo form one...hapa serekali na walimu wanasingiziwa vichwa vingine ni vizito naturally