Tz kwa staili hii tutafika kweli.

Tz kwa staili hii tutafika kweli.

Kapax

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
215
Reaction score
21
ivi tatizo ni wanafunzi,walimu au serikali yetu..mona haya mambo yanasikitisha sana..wakati huo waeshimiwa wanaongeza greds za kufaulu akati..hata iyo moja haipatikani..
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1378394498063.jpg
    uploadfromtaptalk1378394498063.jpg
    89.6 KB · Views: 129
Labda pia na mkazo au hardness of exms itapunguzwa, kama wataongeza bila ya kufanya mabadiliko katika utungaji wa mitihani pia wanataka students wakamue kwa uwezo wa hali ya juu, lakini hiyo ni shagharabaghara.
 
ivi tatizo ni wanafunzi,walimu au serikali yetu..mona haya mambo yanasikitisha sana..wakati huo waeshimiwa wanaongeza greds za kufaulu akati..hata iyo moja haipatikani..

Huyu mwanafunzi kazidi upumbavu yani hata jina lake hawezi kuliandika nakati yupo form one...hapa serekali na walimu wanasingiziwa vichwa vingine ni vizito naturally
 
Huyu mwanafunzi kazidi upumbavu yani hata jina lake hawezi kuliandika nakati yupo form one...hapa serekali na walimu wanasingiziwa vichwa vingine ni vizito naturally

kafikaje form 1 bila kujua kuandika jina lake?,hao walimu ndio wenye tatizo,walishindwaje kumchuja?
 
sijui kafikaje maana atakuandika jina mzozo
 
ata kuandika hajuii kabsaaa hajielew
kabsaa hajui ata kuandika jina
 
nakumbuka cku ya uzinduzi wa huu mpango wa "big result now' mhe.philipo mlugo naibu waziri (moevt) alisema 'if u don't like change,changes will change you' cjui ndo changes zenyewe hizo???
 
hii ni change gani watoto kupata zero ndo big result..au majang'a?
 
BIG RESULT
ndo failure.?😡😡
 
Back
Top Bottom