TZ: Membe speaks the truth about Zimbabwe

TZ: Membe speaks the truth about Zimbabwe

Nadhani maji yamewafika shingoni viongozi wetu na imefika mahali lazima watoe msimamo ingawa kiunafiki tu.

Kwani yanayotokeaga Zanzibar wakati wa Kampeni na Uchaguzi yanatofautiana nini na yanayojiri Zimbabwe? Mimi naona Mugabe ameiga mambo yanayofanyikaga huku kwetu wakati wa Uchaguzi hasa kule Zanzibar.

Kwani Vikosi vya KMKM, JKU na Valantia vimeshavunjwa kule Zaanzibar? Wana-Maskani nao hawapo? Zile kauli za "Mapinduzi Daima" na "Serikali ya Mapinduzi haiwezi kuondolewa kwa karatasi" zilianzia wapi? Si hapahapa Tanzania?

Huku si kumeza Ngamia na kuchuja Mbu!
Huku si kutaka kumtoa nduguyo kibanzi jichoni mwake wakati wewe mwenyewe una BORITI.

Membe kumbuka kuwa Charity Begins at Home!
Msitudanganye, WaTz tuna, akili ya kupembua!
Tena Msizoee kutudanganya, tuma Macho ya Kuona na Masikio ya Kusikia!

Yatakayotokea Zimbabwe ni Mwangwi wa yanoyafanyikaga Zanzibar. SADC wakipeleka Jeshi Zimbabwe mwaka 2010 wataleta hilo jeshi Zanzibar!
 
What you understand is wrong, and the guesswork is not compelling!

We're talking about Membe's statements following the Minister's meeting, not Presidents. Membe said that they are going to tell their presidents to take actions to save Zimbabwe. Does that sound like "briefing" the Presidents?

We're talking about Membe's protocol gaffe, not whether Zimbabweans are dying or not. And in the spirit of diplomacy we 'll bypass your amateurish 'elite' comment!

Mkuu Kuhani, tatizo la wasomi ndilo hilo..mnaendelea kushindanisha theories na viingereza ambavyo havimsaidii mwananchi wa kawaida..sasa wewe ulitaka Membe aseme nini? au shida yako ni jinsi alivyotoa message? Wasomi wengine bana......katika mazingira ya Zimbabwe sijui diplomatic gaffe or what..inasaidia nini? Hata Membe angeutangazia ulimwengu akiwa anakunywa bia yake Rose garden kwamba Zim inabidi ishughulikiwe...kuna ubaya gani as long as akifanya anachokisema? tatizo likashughulikiwa? Hapa tunaangalia solutions..hayo madoido ya diplomacy na namna ya kuongea.....Africans cant afford them at this point in time in regard to Zimbabwe!

As long as what Membe said would make a difference (and to me it does, albeit marginally) kwa sababu ni mara ya kwanza kwenda on record akiwa mchungu hivyo...
 
What you understand is wrong, and the guesswork is not compelling!

We're talking about Membe's statements following the Minister's meeting, not Presidents. Membe said that they are going to tell their presidents to take actions to save Zimbabwe. Does that sound like "briefing" the Presidents?

We're talking about Membe's protocol gaffe, not whether Zimbabweans are dying or not. And in the spirit of diplomacy we 'll bypass your amateurish 'elite' comment!

We shud not be going as far as arguing who is telling the truth about this diplomatic protocal what you may call! When i am hungry I need food, when I am threatened by security (when I am facing death), anybody who will come to my rescue is doing the right thing. Please let us know first what Membe cud have said? Maybe it can sound better! At this time we are seeing what Mugabe is doing, in short people are starving to death, others are killed, and yesterday if you are watching news the Harare Mayor's Wife was killed by the Mugabe Millitants! Ok I am a layman tell me how I shud trust you on your diplomatic theories?
 
Membe ameharibu itifaki ya ndani ya nchi na ameshindwa kuwasilisha ujumbe kwa jumuiya ya Mataifa.

Foreign minister hawezi kuahidi jumuiya ya Mataifa kwamba anaenda kumwambia bosi wake achukue hatua kwa vile yeye Membe anaona Zimbabwe inahitaji kuokolewa.

Membe kusema Zimbabwe inahitaji kuokolewa ni kutamka position ya Tanzania kwamba haturidhishwi na hali ya Zimbabwe.

Sasa Taifa likishatamka kwamba haliridhishwi na hali ya Zimbabwe haliwezi tena likasema hapo hapo kwamba Waziri atamshauri Rais achukue hatua. Kama hiyo ndio position ya nchi - Zimbabwe inahitaji kuokolewa - basi hakuna kushawishiana tena kuhusu kuchukua hatua. Si mbesha kubali tatizo? Huko ni kuchemsha. Membe amewahi kufanya kazi foreign affairs, kwa nini anatuabisha, tunaonekana mataifa ya vilaza, hata vitu vidogo vinatushinda?

Itifaki ya hapa ni rahisi, rahisi mno. Foreign minister anaiongolea nchi. Kama anachotaka kifanyike inabidi amshawishi Mkuu wa nchi basi hatakiwi kuahidi chochote. The most he coulda said, if pressed, ni "nitapeleka ujumbe." Mwisho wa hadithi.

..alitoa tamko au alihojiwa na waandishi.
 
Kama ni unafiki hakuna nchi isiyo na unafiki kwenye diplomasia na naweza sema viongozi wetu wameiga vyema kabisa sytle ya hao hao western powers. Unafiki is the rule of the game in international diplomacy..we need not go to Fletcher school of diplomacy to know that......Sasa kama mpaka leo Bush anakwambia Iraq na Afghanistan there is "peace and freedom" baada ya US kufanya regime change..unategemea Membe kijana wa Lindi akwambie nini?

Masanja, yaani hata cha kuongeza sina hapa. Hayo maandishi ya rangi nyekundu nadhani yanatosha kabisa kumfahamisha mkuu Pundit what international relation is all about.

I think we need more Membes/JKs in international relations to free Zimbabwe
 
aaaah Membe utaweza???ingekuwa kule visiwa vya Comoro mngejipendekeza faster sasa kwa vile Zimbabwe wamejitosheleza kila idala mnagwaya kupeleka majeshi.
Si mnakimbelembe pelekeni majeshi Zimbabwe muone.
Hapo Comoro mmejipendekeza mmetumia bili 7.Na ni zetu walipa kodi.
 
Hvi kweli kutokana na sheria za uchaguzi wa Zimbabwe, huyu Mugabe hawezi kujitoa na kumchagua mtu mwingine toka ZANU kuwakilisha chama akisingizia maradhi ama jambo lolote lile maadam atoke tu ktk Uongozi!...Kwa niniu asitumie janja ya Mwalimu Nyerere?...
.

Too late hiyo option. Myerere alitoka gracefully, hakuua watu na tena ni aibu kabisa kujaribu kulifananisha hili liuaji (Mugabe) na Nyerere.
 
Aliyenikosha roho ni Kagame, jana alimpasha Mugabe na viongozi wengine wa aina yake Africa.
 
Katika biblia imeandikwa toa boriti kwanza katika jicho lako kabla ya kuona kibanzi katika jicho la mwenzako. Je Membe alisema nini kuhusu uchaguzi wa TZ? Si tuliona FFU walivyomwagwa mitaani Zanzibar na walivyowaweka watu chini ya ulinzi, Mbona hili hajawahi kulikemea? Tuliona wanaznci wakipiogwa virungu Bukoba mjini, hapa inakuwa sawa lakini Zimbabwe inakuwa nongwa? Simtetei Mugabe, ila ni vyema Membe na waTZ wote tujue kuwa most African leaders are aof tje character as Mugabe only that Mugabe has refused to kneel down to American and UK demads, hivyo wao wanapiga sana kelele.
Angekuwa naserve interest zao wasingepiga kelele. Angalia sinclair kwa mfano, CCM hata ikiua watu yeye hawezi kusema kitu!
MEMBE KIPIMO UNACHOMPIMIA MUGABE SASA NDICHO TUTAKUPIMIA WEWE NA ccm YAKO 2010
 
Muungwana Pundit how do you know kama kavunja hizi diplomatic etiquittes?

Kwa sababu katangaza kitu kinachoreflect na ku-carry gravity ya foreign policy ya Tanzania bila kuongea na rais, he even recorded that.Anakwenda kumsihi rais a intervene, sasa kama kweli anakwenda kumsihi rais it is imprudent and undiplomatic kutangazia kadamnasi unakwenda kumuomba rais kitu fulani wakati hata hujaongea naye, kwa sababu inaweza kuonekana kama diplomatic blackmail, you are putting your president's back against the wall.Vipi kama rais akikaa na katibu mkuu akasema Tanzania's foreign policy is leaning towards non intervention, si kutakuwa na diplomatic fracas hapo wakati wewe ushawaambia watu naenda kumsihi rais tuingilie?


Unajuaje kama aliongea kabla ya kupata maelekezo ya mwajiri wake?

Kwa sababu hakusema kwamba niliongea na rais, alisema kwamba naenda kumsihi rais



Kifupi yeye ndiyo sauti yetu! Au unafikiri kwa nini aliajiriwa? !

Kama yeye ndiyo sauti yetu kwa nini asiseme kitu definite, kwa nini aseme "naenda kumsihi rais"?

Unajua mwenye mamlaka ya mwisho katika issues za Foreign Affairs as far as chain of command Tanzania ni nani?

c`on kazi ya JK siyo kutoa press conferences kwa waandishi...hiyo ni kazi ya Membe. Kwa nini usiseme kwamba Membe kaongea baada ya kuruhusiwa na Boss wake? (which is too late, but still worthy it!) maana kabla ya hapo alikuwa hajaongea in such strong words....!

Sina shaka kwamba Membe kaongea kwa ruhusa ya bosi wake, na kama unajua kusoma na unafuatilia vizuri post zangu za hapo nyuma utaona hili nililisema.Pamoja na kusema kuwa Kikwete anajulikana kwa kutaka kumpaka Mugabe behind the scenes lakini hana ubavu wa kusema live kama mchizi Kagame. Ninachopinga ni huu usanii wa kutoa vi statement lukewarm, visivyosimama upande wowote na visivyofuata misingi ya etiquette za chain of command katika international relations.

To anecdote this from past examples, Secretary of State wa Harry Truman, Jim Byrnes ambaye alijifikiri kuwa anajua zaidi kuliko rais wake, wakati anatoka Moscow ali release a communique "in advance of any summary report to the president" akaongea na watu wa State department wamtafutie air time kwenye networks ili aweze ku report nationwide kabla hata ya kuongea na rais. Truman bado kidogo amfukuze kazi na akamwambia iwe mara ya kwanza na ya mwisho.

Hata kama Membe aliongea na Kikwete, ile habari ya kusema "naenda kumsihi rais" inaweza kuwa ni vitu viwili tu kama nilivyosema mwanzo na ninarudia kwa msisitizo.

1. Memebe genuinely ana blunder kwa kusema anachoenda kuongea na rais kabla ya wakati bila ya kujua rais atasema nini au kwa kuchukulia for granted kwamba anamjua rais vilivyo na anavyofikiri kwa hivyo hakutakuwa na tatizo.Tatizo ni kwamba hii ni subversion.Kuna mchizi mmoja alichaguliwa saa dukani na baba yake tajiri, akalalamika baba kwa nini umenichagulia saa wakati mimi mwenyewe naweza kuchagua saa ninayoitaka? Baba yake kwa kuwa alimpenda sana akamuomba msamaha na kumwambia sawa chagua saa unayoitaka, mchizi akaichagua saa ile ile aliyochaguliwa na baba yake kwanza.Baba alipomuuliza sasa point yako ilikuwa nini katika kuikubali hii saa? Mtoto akamjibu point ilikuwa kukufanya wewe uniachie mwenyewe kuichagua ingawa unanijua na unajua ninachokipenda.

The moral of the story ni kuwa hata kama Membe anamjua Kikwete na anaijua Foreign policy, just the act of talking to reach a consensus, hata kama Kikwete akipitisha vitu bila kuvisoma inatosha sana.

2.Scenario ya pili ni ile ya kwamba Membe kashaongea na Kikwete, na wameshajua watafanya nini na kila kitu.Hapa Membe anakuwa mnafiki kwa kujifanya ati "Nitamsihi rais aingilie" wakati washaongea.Na unafiki huu uankuwa wa kijinga zaidi kwa sababu unatoa an apparent picture ya nchi inayoendeshwa bila kufuata chain of command, kwamba Membe anaweza kuongea bila haya wala concern kuhusu nini atamshawishi Kikwete.I will be hard pressed to find a similar comment by Condi or any of the Foreign Ministers of the West.

Membe anafanya kazi yake na kwangu mimi kaifanya vyema kabisa. Kutokana na "diplomasia yetu ya kiafrica" ya "ubrotherhood".!

Sawa, wenyewe tunakubali substandard leadership, halafu watu waki degenerate kama Mugabe tunashangaa, halafu wakiiba ma bilioni BOT tunashangaa.Discipline huanza katika vitu vidogo kama hivi.

Kama ni unafiki hakuna nchi isiyo na unafiki kwenye diplomasia na naweza sema viongozi wetu wameiga vyema kabisa sytle ya hao hao western powers. Unafiki is the rule of the game in international diplomacy..we need not go to Fletcher school of diplomacy to know that......Sasa kama mpaka leo Bush anakwambia Iraq na Afghanistan there is "peace and freedom" baada ya US kufanya regime change..unategemea Membe kijana wa Lindi akwambie nini?!

First of all two wrongs do not make a right, halafu tofautisha unafiki ambao unampa mnafiki uwanja wa kuanza kujitetea kwa statistics na spins (unafiki wa West) na unafiki wa kijinga ambao mtu ana expose shallow mind yake outright kwa kusema vitu ambavyo viko unbecoming katika international relations.

No... theories na reality ni tofauti sana......your arguments are good for academic exercise, but they cant work in the real world we live in!

Hapa tunaongelea mambo mengi si theory tu, kuna mambo ya etiquette ambayo unaweza kuyalinganisha na theory, lakini pia kuna mambo kama ya presentation, communication na PR ambayo yana effect kubwa sana kiasi hata cha ku override mambo mengine substantive.

Haya ndiyo yale yale ya Dk. Slaa, unaongea ya maana sana, lakini unavyoyapresent kama kuna mtu ana nia ya kukubana unampa nafasi left right and centre.

Wanasiasa wa bongo karibu wote utafikiri wamezaliwa nyumba moja. Low communicatioon skills and full of colloquism.

Lakini sisi hatuwezi ku afford "ku-split hairs", maadam kamsema Mugabe poa tu, au siyo? That seems to be the ridiculously ruinous resignation retarding a revolutionary Renaissance.
 
Hvi kweli kutokana na sheria za uchaguzi wa Zimbabwe, huyu Mugabe hawezi kujitoa na kumchagua mtu mwingine toka ZANU kuwakilisha chama akisingizia maradhi ama jambo lolote lile maadam atoke tu ktk Uongozi!...Kwa niniu asitumie janja ya Mwalimu Nyerere?...
Ama kweli vitu kama hivi ndio humvulia kofia mzee wangu mwalimu maanake alijua kucheza kama Pele na akatufunga magoli...
Navyofahamu mimi na jinsi cristal ball inavyonieleza, hakuna suluhu Zimbabwe hata kidogo zaidi ya Mugabe kuwa nje na huyo Morgan na MDC yake kutoshinda! Nje ya hapo Zimbabwe ni Somalia inafuatia baada ya Siad Barre...Huyu alichukiwa kama Mugabe lakini kwa sababu walitaka kumwondoa walikuwa waiuze Somalia kwa Marekani -Wasomali walishtuka na kunzisha vagi ambalo hadi leo hakuna salama.. Over 10 years sasa hivi na Somalia kama nchi imerudi nyuma miaka 50...
Yaani wakuu sioni kabisa mwanga upande wa pili wa pango hili!...

Mzee hapa tupo mstari mmoja, Mugabe alitakiwa kuliona hili zamani sana na akatokea mlango wa nyuma na kuanza kivyake. Hapa ngoma ilipofika no wa y back kishalikoroga alinywe tu.....
 
sijui diplomatic gaffe or what..inasaidia nini? ...kuna ubaya gani as long as akifanya anachokisema? tatizo likashughulikiwa? Hapa tunaangalia solutions..hayo madoido ya diplomacy na namna ya kuongea.....Africans cant afford them at this point in time in regard to Zimbabwe!

As long as what Membe said would make a difference (and to me it does, albeit marginally) kwa sababu ni mara ya kwanza kwenda on record akiwa mchungu hivyo...

Unashindwa kuelewa tatizo la Zimbabwe.

Moja ya sababu za maafa ya Zimbabwe ni diplomatic debacle: Africa kushindwa kuleta shinikizo kumuweka Mugabe kwenye mstari.

Kwa hiyo ukisema diplomasia haina nafasi hapa, na ni concerns za wasomi wanaoshindanisha viingereza na nadharia, unatapikia hoja yako mwenyewe, hoja inayosema umefurahishwa na matamko ya Membe. Kazi ya Membe aliyo ifanya hapa ni sehemu ya diplomatic efforts, kuleta mashinikizo. Ndio maana tunasema ni vizuri akifanya hiyo kazi ya diplomacy kwa ujuzi.

Foreign minister hawezi kusema nimegundua tatizo, sasa ngoja nikamshawishi Rais wangu akubali kutatua tatizo! Tunaonekana tuna nati zimelegea juu, na ndio maana Zimbabwe inazidi kupasuka.

Tatizo la kidiplomasia hapa ni dogo, dogo sana: Sasa hivi dunia haijui msimamo wa Mwenyekiti wa AU - Tanzania - ni nini. Je, ni matamko ya Membe kwamba Zimbabwe inaangamia iokolewe, au ni stance ya Rais ambae inabidi ashawishiwe na foreign minister kwamba Zimbabwe inabidi kuokolewa. Sijui unanielewa?

Huu si usomi, nadharia, au viingereza vingi. Ni common sense foreign relations. Simple as that.

Such a diplomatic bizarre!
 
Unashindwa kuelewa tatizo la Zimbabwe.

Moja ya sababu za maafa ya Zimbabwe ni diplomatic debacle: Africa kushindwa kuleta shinikizo kumuweka Mugabe kwenye mstari.

Kwa hiyo ukisema diplomasia haina nafasi hapa, na ni concerns za wasomi wanaoshindanisha viingereza na nadharia, unatapikia hoja yako mwenyewe, hoja inayosema umefurahishwa na matamko ya Membe. Kazi ya Membe aliyo ifanya hapa ni sehemu ya diplomatic efforts, kuleta mashinikizo. Ndio maana tunasema ni vizuri akifanya hiyo kazi ya diplomacy kwa ujuzi.

Foreign minister hawezi kusema nimegundua tatizo, sasa ngoja nikamshawishi Rais wangu akubali kutatua tatizo! Tunaonekana tuna nati zimelegea juu, na ndio maana Zimbabwe inazidi kupasuka.

Tatizo la kidiplomasia hapa ni dogo, dogo sana: Sasa hivi dunia haijui msimamo Mwenyekiti wa AU - Tanzania - ni nini. Je, ni matamko ya Membe kwamba Zimbabwe inaangamia iokolewe, au ni stance ya Rais ambae inabidi ashawishiwe na foreign minister kwamba Zimbabwe inabidi kuokolewa. Sijui unanielewa?

Huu si usomi, nadharia, au viingereza vingi. Ni common sense foreign relations. Simple as that.

Such a diplomatic bizarre!

Kipi kinakufanya wewe ufikirie kuwa Membe ametamka vile kwa opinion yake/kwa uelewo wake mwenyewe. Are you blaming that Mr. Membe was too immotional to say that? Why are you taking for granted that that was not his boss's opinion? Are an insider? please!
 
Kipi kinakufanya wewe ufikirie kuwa Membe ametamka vile kwa opinion yake/kwa uelewo wake mwenyewe. Are you blaming that Mr. Membe was too immotional to say that? Why are you taking for granted that that was not his boss's opinion? Are an insider? please!


I can draw the same conclusion kutokana na matamko ya Membe kwamba "Naenda kumsihi rais ...." hutakiwi kusema unachoenda kumsihi rais, unatakiwa kusema mlichokubaliana.Ukishasema "Naenda kumsihi rais..." maana yake ni kuwa hamjakaa chini na kukubaliana kuhusu hilo, kwa hiyo hakuna "his boss' opinion" hapo!

Matamko ya Waziri wa Mmambo ya Nje wa Tanzania ni Foreign policy, sasa haya mambo ya "Naenda kumsihi rais...." yanaonyesha Tanzania's Foreign policy on Zimbabwe is chaotic, confused and lacks a clear direction.

Kama kuna vitu hmjakubaliana huvisemi, full stop.
 
We shud not be going as far as arguing who is telling the truth about this diplomatic protocal what you may call! When i am hungry I need food, when I am threatened by security (when I am facing death), anybody who will come to my rescue is doing the right thing. Please let us know first what Membe cud have said? Maybe it can sound better! At this time we are seeing what Mugabe is doing, in short people are starving to death, others are killed, and yesterday if you are watching news the Harare Mayor's Wife was killed by the Mugabe Millitants! Ok I am a layman tell me how I shud trust you on your diplomatic theories?

If you continue to fumble by not bringing the right kind of diplomatic pressure to bear, more disaster lays ahead.

See, it does not solve a thing just to be angry at a problem.

There is no diplomatic theory here. What am saying is mundane common sense: Membe and Kikwete should speak with one voice. Simple as that.

You can not have your foreign minister going around squirming that "Zimbabwe needs to be saved...' and then say 'I will go and convince my President to take action.' Extremely absurd. Such diplomatic blurt.

Minister Membe's bungled diplomacy ain't going to save Zimbabwe. It will sink Zimbabwe deeper and deeper into democratic despair, death and disaster.
 
Mafisadi ni Mafisadi, na ufisadi wao unahatarisha hata uhuru wa nchi yetu kutoa maamuzi yake independently...pamoja na kutegemea misaada, it is so easy to black mail these corrupts leaders....it is a matter of how much BLACK MATERIALS, US and UK may have on them through Balali, Radar, Chenge scandals etc to make them do what they say.

Pia soma habari hapo chini
Full text/Reference: http://cleveland.indymedia.org/news/2008/06/30586.php

Neo-Imperialism
"We've beaten Mugabe," said a front-page headline in the London Evening Standard (April 2 2008).

Only there were no quote marks around the words "We've beaten Mugabe."

It made it difficult to tell if the paper was reporting the thoughts of Morgan Tsvangirai's Movement for Democratic Change upon its electoral victory over President Mugabe's Zanu-PF party, or its own back-slapping relish at the thought that its journalism may have played a part in toppling Cde [Comrade] Mugabe.

Indeed, "We've beaten Mugabe" could be the slogan of political and media operators in Britain and elsewhere in the West, who like to fantasise that President Mugabe is "Africa's Hitler", that his Zimbabwe was "more evil than, for example, China and Saudi Arabia", and that it is up to the West to "put pressure on Zimbabwe to change".

The media reports about Zimbabwe's elections present them as a clash between the "evil" President Mugabe and the "heroic" Tsvangirai, an electoral battle for Zimbabwe's soul.

Cde Mugabe is depicted as having brought Zimbabwe to its knees, causing widespread poverty and enforcing terror and repression, and Tsvangirai is discussed as the harbinger of a dignified "revolution" against Mugabeism. This is a fantasy.

It ignores the key role played by Western governments and financial institutions in using sanctions, tough diplomacy and the proxy interventionists of the South Africa government and the African Union to isolate and harry Zimbabwe over the past decade.

Such self-serving external meddling has contributed to Zimbabwe's economic crisis -- and it has dangerously distorted the political dynamics inside Zimbabwe and elsewhere in the south of Africa.

Over the past 10 years, American and European governments cynically transformed Cde Mugabe's Zimbabwe into the West's whipping boy in Africa, the state they love to hate, a country against which they can enforce tough sanctions to demonstrate their seriousness about standing up to "evil".

The West has imposed economic sanctions on Zimbabwe, warned off foreign investors, denied Zimbabwean officials the right to travel freely around the world, demonised Cde Mugabe as an "evil dictator", discussed the idea of military action against Zimbabwe, and used moral and financial blackmail to cajole South Africa's President Thabo Mbeki to "deal with" him.

Objectively, this singling out of Cde Mugabe's "regime" as the "worst government on Earth, the most brutal, destructive, lawless government" made little sense.

Indeed, one could argue that over the past decade, there was more choice and openness in Cde Mugabe's Zimbabwe than there was in Rwanda and Uganda, both close political allies of America and Britain.

No, Zimbabwe was labelled the demon of Africa, not in response to events on the ground in Zimbabwe itself, but in response to the needs and desires of governments in the West looking for a purposeful mission in international affairs.

Western meddling pushed Zimbabwe to the precipice. Yet listening to the discussion of the elections, you could be forgiven for thinking that the country had suffered from a sudden, inexplicable case of spontaneous national combustion.

The economic crisis is depicted as a peculiar phenomenon on a continent where there has mostly been economic growth in recent years.

Where most of Africa's economies have been growing at a rate of between 5 and 6 percent recently, Zimbabwe is the only African country that had a negative GDP in 2007/2008.

It is reported that the Zimbabwean economy has shrunk by more than a third since 1999, a "decline worse than in major African civil wars", says one newspaper.

Apparently there's an unemployment rate of around 80 percent, and inflation is running at 100,586 percent. Yet the only explanation given for this economic nosedive is President Mugabe's seizure of colonial-era, white-owned commercial farms eight years ago.

As the UK Guardian says: "The economic crisis is largely blamed on the seizure of white-owned farms that began in 2000, disrupting the agriculture-based economy."

It is true that foreign exchange earnings from these former white-owned farms have plummeted, causing major economic problems; but there is more to Zimbabwe than tobacco and the other cash crops once produced by the white farmers.

A key driver of Zimbabwe's economic crisis has been the West's attempts to bring down Cde Mugabe by turning the financial levers.

Relentlessly, the American and British governments, and the European Union, economically punished President Mugabe's Zimbabwe for what they considered to be its political disobedience.

In November 1998, the International Monetary Fund implemented undeclared sanctions against Zimbabwe, by warning off potential investors, freezing loans and refusing to negotiate with Zimbabwean officials on the issue of debt.

In September 1999, the IMF suspended its support for economic adjustment and reform in Zimbabwe.

In October 1999, the International Development Association, a multilateral development bank, suspended all structural adjustment loans and credits to Zimbabwe; in May 2000 it suspended all other forms of new lending.

In December 2001, the US passed the so-called Zimbabwe Democracy and Economic Recovery Act, which decreed that Cde Mugabe could restore relations with international financial institutions only if he agreed to conditions on Zimbabwe's rule of law, the presence of its troops in the Congo, and the conduct of its internal elections.

The American law also instructed all US members of international financial institutions to oppose and vote against any extension of loans, credits or guarantees to Zimbabwe.

In 2002, then British foreign secretary Jack Straw declared that Britain would "oppose any access by Zimbabwe to international financial institutions".

Also in 2002, British officials threatened to withdraw financial assistance to other countries in southern Africa unless they, too, imposed sanctions against Zimbabwe.

This led Benjamin Mkapa, then president of Tanzania, to complain that African members of the British Commonwealth were enduring "a bombardment for an alliance against Mugabe".

The European Union imposed "smart" sanctions against Zimbabwe, refusing to allocate visas for travel in EU countries to President Mugabe and his officials and freezing all of their economic assets in Europe.

In the early and mid-2000s, both the World Bank and the IMF tried to dissuade states and institutions from extending financial credit to Zimbabwe. A Zimbabwean official claimed that:

"Our contacts in various countries have indicated that these institutions are using all sorts of tactics to cow all those who are keen to assist Zimbabwe."

The economic punishment of "evil Mugabe" by powerful Western forces had a massive impact on Zimbabwe. According to one critical observer, Gregory Elich, author of Strange Liberators:

Militarism, Mayhem and the Pursuit of Profit, "Western financial restrictions made it nearly impossible for Zimbabwe to engage in normal international trade".

And "for a nation that had to import 100 percent of its oil, 40 percent of its electricity and most of its spare parts, Zimbabwe was highly vulnerable to being cut off from access to foreign exchange".

Elich argues that the impact of Western restrictions on trading and crediting with Zimbabwe was "immediate and dire":

"The supply of oil fell sharply, and periodically ran out entirely. It became increasingly difficult to muster the foreign currency to maintain an adequate level of imported electricity, and the nation was frequently beset by blackouts.

"The shortage of oil and electricity, in turn, severely hobbled industrial production, as did the inability to import raw materials and spare parts. Business after business closed down and the unemployment rate soared . . ."

Alongside turning the screws on Zimbabwe's economy, the West interfered politically in an attempt to undermine Mugabe's government.

America's Zimbabwe Democracy and Economic Recovery Act of 2001 authorised President George W. Bush to fund "opposition media" as well as "democracy and governance programmes" inside Zimbabwe.

In April last year, the US State Department confirmed for the first time that the US had sponsored "events" in Zimbabwe aimed at "discrediting" Mugabe.

It is reported that the opposition party MDC also received financial backing and political direction from Britain, Germany, Holland, Denmark and the US. A small number of political observers in the West have questioned the wisdom of Western interference in Zimbabwe's internal affairs.

When America passed its Zimbabwe Act, US Congresswoman Cynthia McKinney asked during a debate in the House of Representatives why US officials were enforcing politically-motivated sanctions against a mostly democratic country:

"Zimbabwe is Africa's second-longest stable democracy. It is multi-party. It had elections last year (in 2000) where the opposition (the MDC) won over 50 seats in Parliament.

"It has an opposition Press which vigorously criticises the government and governing party. It has an independent judiciary which issues decisions contrary to the wishes of the governing party."

Indeed, one of the ostensible reasons why America passed the Act was to protest against the presence of Zimbabwean troops in the Congo.

Yet, in 2001, both Uganda and Rwanda also had troops in the Congo; and neither Uganda nor Rwanda allowed opposition political parties or a free Press.

Yet both were allies of America, and received considerable economic backing from the US.

It was political considerations in the West that elevated Cde Mugabe to that position (of a "tyrant" and an "African Hitler") and transformed Zimbabwe into a pariah state.

Western governments despised what they considered to be Cde Mugabe's cheek, in particular his temerity in daring to seize white farms, to interfere in the Congo without a green light from the US, and his frequent denunciations of Western colonialism.

Indeed, since the defeat of the white rulers of Rhodesia in 1980, Cde Mugabe lived off his reputation as a brave warrior against Western arrogance in Africa.

It was colonialism and imperialist intervention that gave him his base of support, which has always been a substantial one, despite, or perhaps because of, international hostility against Zimbabwe.

As the African commentator Barrie Collins has argued: "Since the end of the Cold War, the USA and the UK have got used to a high degree of compliance on the part of African governments -- and they are no longer prepared to tolerate those, like Zimbabwe, that insist on doing things their own way."

Bashing Zimbabwe played a dual role for Western officials and commentators. It allowed those of a conservative stripe to defend the historic reputation of colonialism by comparing it favourably with the rule of individuals like Cde Mugabe.

Eton-educated British observers loathed Cde Mugabe because they considered him a symbol of African cockiness, who had humiliated Ian Smith (the white minority ruler of a self-declared "independent" Rhodesia from 1965 to 1979) before the eyes of the world.

Attacking President Mugabe's rule became a way of rehabilitating the image of old-fashioned, British-tinged colonialism.

At the same time, one-time anti-colonialist radicals - including most notably the gay rights activist Peter Tatchell in the UK - focused their political energies on opposing Mugabe, describing him as intolerant and not sufficiently respectful of minority rights.

At a time when political radicalism is on the wane in the West, some activists sought to recover their old campaigning spirit by taking potshots at the easy target of a beleaguered African state.

Indeed, radicals often led the charge for tougher economic and political punishment of Zimbabwe - and frequently, they got what they asked for.

From the late 1990s to today, Zimbabwe became the West's favoured punchbag in the "Dark Continent".

Yet Western governments have chosen striking forms of intervention.

Instead of militarily and directly intervening in Zimbabwean affairs -- despite loud demands from the colonialist/radical alliance that they should do so - governments in the West pursued a more hands-off form of meddling in Zimbabwe.

They used sanctions and economic blackmail; they funded opposition parties and "events"; and, most revealingly, they put pressure on South Africa, Tanzania and other nearby states to use their muscle to try to push Cde Mugabe from power.

This was effectively "blacked-up imperialism", an attempt by Western powers nervous about being seen smashing their way into Africa to use local proxies to do their dirty work for them. To their credit, many African officials refused to play the game.

The African Union turned down Western suggestions to send forces to Zimbabwe in 2005, arguing that "it is not proper for the AU commission to start running the internal affairs of member states".

Though South Africa's Mbeki has become involved in Zimbabwean politics, he has also, to the irritation of Western observers, insisted that the future of Zimbabwe "has never been a South African responsibility".

Zimbabwe captures both the West's sense of caution in international affairs and also its inexorable drive to interfere wherever and however it can.

As the former British foreign secretary Margaret Beckett argued, Britain cannot be seen explicitly interfering in Zimbabwe because we are "the old colonial power."

Yet at the same time Britain apparently has a "responsibility" to spread democracy around the world.

The end result of this schizophrenic approach to African affairs and international affairs more broadly, a political defensiveness combined with a desire to do something seemingly purposeful and proper.

It is an unpredictable, ravenous, behind-the-scenes form of meddling in other countries' affairs, a kind of "cowardly colonialism". And it can have dire consequences for people in the Third World.

On the basis of little more than the fact that they needed a focus for their international pretensions, Western governments have put Zimbabwe into an economic straitjacket and warped its internal political process.

If the sanctions, blackmail and withdrawal of trade have helped to push Zimbabwe's economy into freefall, then the relentless backdoor political interventions have disempowered the people of Zimbabwe.

The dynamic of Western intervention caused Cde Mugabe to become more entrenched and paranoid about outsiders and it encouraged MDC to look to Western officials and radicals for favour and flattery rather than to build a meaningful grassroots movement inside Zimbabwe.

Indeed, for all the talk of a "revolution" in Zimbabwe, both during minor street protests last year and during the elections this week, many people actually seem quite resigned about Zimbabwe's fate.

As one report recently said:

"The opposition hasn't been able to mobilise tens of thousands of people . . ." Lots of the current news coverage continually shows Zimbabweans queuing up for hours to buy a newspaper for a few thousand dollars so that they can read about the elections.

This footage is supposed to show how bad inflation has become in Zimbabwe, but it also reveals something else.

That the West's attempted strangulation of Cde Mugabe has reduced the people of Zimbabwe to observers rather than masters of their fate, who look to the front pages of newspapers to find out what might happen next in their country.
 
Inaonekana Membe alikua akitekeleza matakwa ya Dr. Rice siku mbili zilozopita.

WASHINGTON (AFP) - US Secretary of State Condoleezza Rice called Wednesday for the UN Security Council and African leaders to press Zimbabwean President Robert Mugabe into holding free and fair elections.

Rice said she wanted the "leaders of Africa" to deliver a "strong message" to Mugabe when asked what she hoped South African President Thabo Mbeki would tell the president during a visit Wednesday to Harare.

US officials have for weeks urged South Africa to use its influence to defuse the crisis in neighboring Zimbabwe.

The secretary of state also hoped to "bring some international attention" to Zimbabwe when she and Djibrill Bassole, her counterpart from Burkina Faso, co-chair "roundtable" talks Thursday at the UN Security Council in New York.

"This is from our point of view a matter for the Security Council of the United Nations to deal with," Rice told reporters during a meeting in Washington with Prime Minister Raila Odinga of Kenya.

Rice's deputy spokesman Tom Casey told reporters later that the meeting -- involving UN permanent representatives, other UN members and relief groups -- would propose solutions for both the political and humanitarian crisis.

President George W. Bush, meanwhile, talked about Zimbabwe in a telephone conversation Wednesday with Zambian President Levy Mwanawasa, chairman of the 14-nation Southern African Development Community, which is deploying elections observers to Zimbabwe.

US officials have accused Mugabe of wrecking the country's economy and of depriving opposition supporters of food aid.

Casey expected the New York talks to focus on "what can be done to be able to change the regime's behavior" and ensure Zimbabweans have an election free from intimidation.

Odinga, who survived an election campaign in Kenya that triggered international fury, proposed sending international peacekeepers to Zimbabwe to ensure proper elections, but Rice declined to comment on his proposal.

"It is time for the leaders of Africa to say to President Mugabe that the people of Zimbabwe deserve a free and fair election, that you cannot intimidate opponents, you cannot put opponents in jail, you cannot threaten them with charges of treason and be respected in the international community," Rice said.

Reference:

http://afp.google.com/article/ALeqM5jTLSb4mDiD-3DlaE1x7AoWyOgwTQ
 
Kipi kinakufanya wewe ufikirie kuwa Membe ametamka vile kwa opinion yake/kwa uelewo wake mwenyewe. Are you blaming that Mr. Membe was too immotional to say that? Why are you taking for granted that that was not his boss's opinion? Are an insider? please!

Kwa sababu, ni kichekesho zaidi - tena usanii wa kuikejeli Jumuiya ya Mataifa - kama wameshaelewana halafu Membe anasema ngoja nikamshawishi Rais.

Akishasema 'naenda kumshawishi Rais wangu' ina maana hakuja na ruhusa ya kutoa tamko la itikadi ya Tanzania kwamba 'Zimbabwe inahitaji kuokolewa...ngoja nikamshawishi Rais achukue hatua.'

Membe amefanya kazi foreign affairs lakini bado hajui vitu vidogo kama hivi. Mataifa yanatuangalia, yanasema, doooo, hawa viongozi wa Afrika wanahitaji msaada wa mawazo
 
Mtafaruku,
Mkuu yote haya yanafahamika... Lakini ukweli bado umebakia kuwa Mugabe kama rais ni lazima ajikate... Nilitegemea hizo digree zake zingweza kuona mbali zaidi ktk hili. Mugabe ni MBINAFSI na true reflection of NDIVYO TULIVYO..
Swala la Uingereza linajulikana sana na binafsi huyo Morgan sina kabisa aibu ya kusema hafai ni kibaraka kama kina Karzai, Musharaf, na mtu kama Hosni Mubarak wa Egypt ambaye yupo madarakani kabla hata Zimbabwe haijapata Uhuru...Nani kisha mnyooshea kidole huyo?... hakuna!
Lakini pamoja na yote haya Zimbabwe inastahili kupata mtu mwingine kuwakosha Uingereza kama walivyofanya China....
Ilikuwa zuga kuondoa Utawala wa Mao Tse Tung lakini libeneke bado Wachina wanaliendeleza chini ya utawala wa chama kile kile tena basi sasa hivi ndio wanashinda vita ya kiuchumi...
Mugabe anatakiwa kufikiria nje ya Box mkuu bado anaweza kuwa na nafasi yake ya juu ndani ya chama lakini aondoke mbele ya jukwaa....Anakipaka!
 
Back
Top Bottom