TZ Mobile Number Lookup, App inayokuwezesha kutambua namba ni ya mtandao gani kwa urahisi zaid

TZ Mobile Number Lookup, App inayokuwezesha kutambua namba ni ya mtandao gani kwa urahisi zaid

magabelab

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2014
Posts
374
Reaction score
202
TZ Mobile Number Lookup ni aplikesheni inayokuruhusu kutambua papo hapo opereta wa mtandao wa simu anayehusishwa na nambari yoyote ya simu ya Kitanzania. Ingiza tu nambari, na programu itaonyesha opereta.
Programu hii ni nyepesi na ya haraka.Ni chombo muhimu kwa mtu yeyote anayehitaji kuthibitisha nambari za simu za Tanzania. Hipo Google play
1.png
7.png
 
Mkuu hii uhitaji wake ni mdogo. Na katika watu kumi nafikiri wawili ndio wanaweza wasitambue hii namba ya mtandao gani.

Maoni yangu.
 
Naona haina umuhimu sana kwa sababu ndani ya miezi sita Labla hilo swali la hii namba ni mtandao gani utajiuliza mara moja, hapo cha kufanya n kuongeza option tuu Ila Bila hvy hy app haina umuhimu.
 
Kuna milioni 2 niuzie hiyo account ya play store
 
Back
Top Bottom