TZ ni vidume tumewaoa EAC wote

WENYELE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,433
Reaction score
1,442
Uganda tulimchukua Zari lakini alisepa mwenyewe,RWANDA tushachukua na Kenya tayari...Burundi subiri kidogo tutakuja huko sio ni MIDUME kutoka TZ
 
Vidume wapi bana, mbona warembo wanawakimbieni tu?
 
Uganda tulimchukua Zari lakini alisepa mwenyewe,RWANDA tushachukua na Kenya tayari...Burundi subiri kidogo tutakuja huko sio ni MIDUME kutoka TZ
Sisi ni vilaza kweli kweli, wenzetu majirani zetu wanafurahi nchi yetu kuwa shamba la bibi yao, hapa ma CEO na ma director wengi ni wa Kenya. Exports za Rwanda zinapita hapa kwetu free, halafu sisi tunakenua mimeno eti tumechukua Dada zao, kwa kweli mwenge ni laana kwa akili zetu na vizazi vyetu vijavyo.
Isaya 50:11
 
Hata Rais wetu Muhutu, kweli sie vidume.
Hukuna tatizo mkuu mhutu anaweza pia kuwa mtanzania ni sawa na wewe kuwa na kabila lako lakini still ukawa mtanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…