Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ToeniTunatoa tamko si muda mrefu
hahahahahaTunatoa tamko si muda mrefu
Sisi ni vilaza kweli kweli, wenzetu majirani zetu wanafurahi nchi yetu kuwa shamba la bibi yao, hapa ma CEO na ma director wengi ni wa Kenya. Exports za Rwanda zinapita hapa kwetu free, halafu sisi tunakenua mimeno eti tumechukua Dada zao, kwa kweli mwenge ni laana kwa akili zetu na vizazi vyetu vijavyo.Uganda tulimchukua Zari lakini alisepa mwenyewe,RWANDA tushachukua na Kenya tayari...Burundi subiri kidogo tutakuja huko sio ni MIDUME kutoka TZ
Hukuna tatizo mkuu mhutu anaweza pia kuwa mtanzania ni sawa na wewe kuwa na kabila lako lakini still ukawa mtanzaniaHata Rais wetu Muhutu, kweli sie vidume.
Hukuna tatizo mkuu mhutu anaweza pia kuwa mtanzania ni sawa na wewe kuwa na kabila lako lakini still ukawa mtanzania
Mama G Kausha bhana me nakuja kuoa mwanao kama ni wakike. [emoji23]Tunatoa tamko si muda mrefu