TZ railway probable Africa's best.

TZ railway probable Africa's best.

Naludia kusema kuwa China wametumia light rail track kwenye Kenya SGR. Pia evidence nitaileta

Tanzania iliamua kutumia AREMA standard kwa sababu ndo railway track ambayo imetengenezwa ku handle heavy and bulky trains kwa muda mrefu zaidi pia maintenance yake iko chini sana.
Inauma ila vumïlia.
35 million double stack ndio light rail?????...yenu ni 15-18 million tonnes single stack
 
Alikuwa hajui kuwa AREMA ni aina ya rail track(mataruma) pia pale mchina aliposema class one alimanisha mataruma nahapo ndo penye faida kwa mkandarasi. Mchina kawapigia hapo. AREMA ni the best standard rail track kwenye ku handle heavy and bulk cargo. Duniani nchi inayo ongoza kwa kuwa na reli zïĺizokaa muda mrefu ni Marekani
AREMA ni standard ya wamarekani
Hilo Collo ni puuzi achaneni naye hajui chochote. Nakusihi COLLOH-MZII masuala ya kitaalamu waachie wajuzi. Huoni wakenya wenzako wala hawaku support. You are showing your stupidity in public.
 
AREMA leo imekutoa jasho. No research no right to speak.😀😀😀😱😀
AREMA na class two ni single stack buda.... Class one ni double ......yenu 18 million tonnes a year yetu 35 million
 
31c89ec8da454719afbaccbff0f21d22.jpg
0a28e16a3a21f31b5f52d4ed7b911233.jpg
f5ca01860cef83a51aad5c9b15b36e03.jpg
3ffec8d5033c434534bc4a8dcfd69a1f.jpg
955c18563889871c36adcf9e10a7a96e.jpg
52b2a04d6db7e08c9db5c35c3a0f7567.jpg
b6017a0821adebf88df93d252cdc1ace.jpg
d64e8f7c31b038d2c44c4a485a6fd3b0.jpg
67dfcce1491a1862a7b5345694e63575.jpg
d4e1120d5b6eef0b8bb77f43ffeca2e0.jpg
Hahaha....tegea uone watu flani watakavyo tokwa na povu

Apparently Uganda doesn't think the Tanzania SGR is worth dog shit.
 
35 million double stack ndio light rail?????...yenu ni 15-18 million tonnes single stack
Sikunyingine usituletee nakutumia source za Uganda nakuongea hovyo. Hata sisi yetu AREMA ni double stack sema tu wivu unawasumbua. Soma hi tender yetu ya treni tunazo hitaji kwa ajïli ya SGR hasa hapo kwenye red line. Najua utaumia ila vumilia . Huyo ndo Magufuli

2018-02-12_19.52.23.jpg


1 Comment

A pre-qualification stage is a preliminary step in a bidding process under which bidders showcase ability and requisite resources and experience to complete the job at hand. According to Rahco’s public notice, interested bidders must deliver their documents to the Office of the Secretary of Tender Board at RAHCO building along Sokoine Drive in Dar es Salaam by 10:30 on January 30, this year.

The pre-qualification tenders, says RAHCO, would be conducted through competitively as set out in the Public Procurement Act No, 7 of 2011 and its Public Procurement (Amendment) Act, No 5 of 2016, Public Procurement Regulation, 2013 and its Public Procurement (Amendment) Regulations, 2016.

The bidding process aims at enabling RAHCO to get the best qualified bidder to supply 14 electric locomotives of 6500 HP and two diesel locomotives of 6500 HP (Freight Trains) and three electric locomotives of 3000 HP and two diesel locomotives of 3000 HP (Departmental trains).

Other requirements on its ‘wish list’ include five Electric Multiple Units (EMU), each with the capacity to accommodate 1,800 passengers, 15 Coaches Class I and 45 Coaches of economy class. Other items to be supplied include 600 Flat wagons, 200 Oil tankers, 50 double stack container wagons, 50 bulk wagons, 70 Condola wagons and 70 ballast hoppers (Freight Wagons).

Tanzania ya Magufuli sio yakutania
Soma tender yote usijifanye double stack container wagons hujaiyona
 
Wanataka tuanze kuwapa data za chini. Walikuwa hawajui kuwa ya kwetu pia itakuwa na double stack wagons. Anatumia source ya Uganda wakati sisi wenye nchi tupo
Apo ndio kanishangaza though I know the guy hua anajua namna ya kuvuna points kwa style ile
 
Hahaha...yaani colloh peke yake amewatoa povu hivyo.

Colloh posted one report and y'all lost you little minds. Don't shoot the messenger, direct your filth at Uganda

Simply put, Uganda lifted the skirt on the Tanzania and decided that bitch ain't worth a tampon
 
Alafu watu watoane ushamba hakuna bullet train au HSR-high speed rail inayojengwa na axle load ya juu, infact, Japan sahii iko na project wanapunguza axle load za reli zao

So all of you can forget bullet trains ever running on these rails, infact most HSR ran on tracks that have axle loads of between 11tonnes/axle to 17t
 
AREMA na class two ni single stack buda.... Class one ni double ......yenu 18 million tonnes a year yetu 35 million
Kwa taarifa yako maximum capacity ya Kenyan SGR train is 4,000 tonnes while the Tanzanian train is 10,000, more than twice to the Kenyan train. Swala unalo ongelea hapo litatokana naupatikanaji wa mizigo na uwamuzi wa watu kuitumia reli

TANZANIA.
2018-02-12_20.42.56.jpg
KENYA
2018-02-12_20.41.51.jpg
 
Kwa taarifa yako maximum capacity ya Kenyan SGR train is 4,000 tonnes while the Tanzanian train is 10,000, more than twice to the Kenyan train. Swala unalo ongelea hapo litatokana naupatikanaji wa mizigo na uwamuzi wa watu kuitumia reli

TANZANIA. View attachment 694662 KENYAView attachment 694658
Watz hua ni rahisi sana kuwadanganya, mliambiwa 10,000 per train mkaanza kucheka kenya bila kuuliza what's the catch, the catch ni kwamba few trains with less frequency so that you don't go beyond 25m tonnes st the end of the year.

Kenya ni 4000 per train but more frequency, at the end of the year, 35m tonnes.

This is the true capacity of the rail, at the end of the year what matters is how many tonnes you have moved from point A to point B, the rest is irrelevant
 
Hivi huyu Maina ni kabila gani?, ninahisi ni mkikuyu au Kalenjin, hana sifa yoyote ya kushika hiyo position, amewadanganya sana wakenya katika huu mradi wa reli, jambo la kushangaza, wakenya wengi wanamsikiliza na kumuamini, hana kiwango hata cha kuwa mkuu wa wa shule ya msingi chini ya utawala wa uncle Magu, angelifukuzwa kitambo huyu.
 
Hahaha...yaani colloh peke yake amewatoa povu hivyo.

Colloh posted one report and y'all lost you little minds. Don't shoot the messenger, direct your filth at Uganda

Simply put, Uganda lifted the skirt on the Tanzania and decided that bitch ain't worth a tampon
What report? Fatilia thread vizuri. Yeye aliongelea AREMA ndo nikamueleza kuwa hiyo ni aina ya reli track( mataruma )zitakazo tumika. Huwa zinatafautiana kutokana na uzito wa treni utao tumia hiyo reli. Nime mueleza kwenye China standard hakuna kitu kitu kinachoitwa class one or two bali ni crane rail, heavy rail and light rail. Pia nazo hizi zinakuwa specification tofauti depending on the alloys used. Nilipo mwambia a google evidence akaleta hiyo source ya Uganda. Mataruma hutafautiana uzito the mixture of metals(alloy) japo steel huchukua percent kubwa.
 
Back
Top Bottom