TZ railway probable Africa's best.

Hivi ubora wa barabara ya rami unapimwa kwa magari mangapi yanapita kwa mwaka au uwezo (tonnes) of the track it can handle?

Pia ningependa kuelewa kwenye hoja yako ya frequency, hivi maelezo ya thread uliyasoma vizuri hasa hili eneo. Alafu compare nahuko Kenya.

The completion of the first phase of the project will facilitate the existence of three passenger trains as the starting point. The trains will be undertaking daily round trips between Dar es Salaam and Morogoro. Mr Mgedzi told the ‘Daily News’ that one passenger train can operate three to four trips per day between Dar es Salaam and Morogoro , thus making it possible to have a total of nine to 12 trips per day, but the number can be increased as passengers increase.
 
serikali ya Kenya ilitucheza hapo sina ubishi wowot...kununua treni za diesel 2017 hio ni upumbavu walifanya...nawalaumu tu mpaka leo ila rli pia imesaidia kwa upand mwingine
Umesema kwel afu kinachoumiza zaidi kwa hiyo gharama mlojengewa ilikua inatosha kuweka ya umeme na change inarudi kabsa
 
how will those many frequencies be economical in comparison to fewer frequencies of electrical trains n yet u will be using diesel engines? Do u know global oil price fluctuates! Be reminded u have a Chinese loan to pay that needs ur running cost be lowest. Mind u many frequencies of a wagon train that moves 80 km/h in comparison to fewer frequencies of astronomical large cargo of electrical train cruising at 120km/h is no brainer. Wacha upumbavu..
 
Wacha kupiga mayowe wacha tuone wenyewe sifa zimetuzidi sana
 
Especially kwa capacity ya locomotives walizonunua ati 4000 tonnes per train n moving at 80 km/h.
Hawa jamaa wakiona wamebanwa kila kona wanaanza kupika data, hakuna popote pale panaposema kwa mwaka capacity ya train yao ni 35tonnes, wameamua kupika data wakati capacity yao kwa mwaka ni 22M tonnes pekee according to GoK, hiyo 35M tonnes wameitoa wapi?
 

Ya wenzetu ishaaanza kazi sisi hiyo best iko kwenye PAPER WORK
Tusubiri ikamilike ndio tuseme
 
Sasa unapiga hesabu ya persenger services ambao hata wawawezi leta faida ...hapa tunaongelea freight Ambayo itachangia at least 90% ya faida, what the design capacity of the rail based on axle,speed,weight of the cargo...nenda Kule "Tanzania SGR updates" kuna formular nilionyesha hua inatumika ku calculate
 
Reli yetu ya diesel iko na rate of climb of 1.2% all section, which means more bridges just to make it aligned, lakini it means it requires less traction force to move, hata kama ni diesel inatumia kidogo.

Reli ya Tz iko na steeper climbing rate of 1.8% on easy section and 2% on difficult sections, this significantly reduces the cost of construction but it means the locos need access to instant energy to push through all that weight, so don't be surprised if you end up with a fuel bill that isn't that significantly less than diesel.


2nd issue. Nakumbuka nikiwa Uni, tulisoma kitu inaitwa "Operations Research" specifically 'Simulation and Modelling' hapo ndo niligundua there is no sure thing mpaka upige mahesabu, it might look like a no brainer kumbe you are actually making loses .

Like I showed you in the other thread, your 10,000 tonne train will take like 10 hours to be full... And then leave at 120km/hr...
A kenyan train might be leaving after every 3hours travelling at 80km/hr ...

----
So in short, for Tz, ni mzigo unaofika on the 10th hr ndo utafikishwa haraka, but mzigo unaoingia 7am utangoja 10hrs ndo uende.
Kama distance ni 400km mzigo huo wa 10,000 tonns utachukua 3.4hrs at 120km/hr.

On Kenya rail mzigo wa 7am utatoka 9am utachukua 5 hrs lakini utakua na 7hrs head start kwasababu unatoka after 3 hrs, trip ya pili wa 4000tns utakua na 4hr head start...na trip ya tatu itatoka saa tisa mchana na ichukue 5hrs na ifike destination saa mbili usiku 8pm... That means kuanzia saa moja hadi saa mbili usiku kutakua Treni tatu zimebeba 4000x3= 12,000tonnes at greater frequency

On the other hand Treni ya tz ya 10,000 itajaa sa kumi alafu itumie 3.4 hrs kufika destination 400km away...i.e itafika 7.40pm na mizigo yote kwa mpigo... Tofauti ni 20min ealier vs 2000 more tonnes.
 
Especially kwa capacity ya locomotives walizonunua ati 4000 tonnes per train n moving at 80 km/h.
Uganda rail presentation powerpoint by min.of.transport... Soma vizuri 35milln tonnes is the upper limit, while tz rail as mentioned up there is 25 mln tonnes


 
Itakuaje the best na bado ndiyo iko under construction...
vitu zingine hushangaza sana.
Nikama mtu aseme mtoto atakaye zaliwa atakuwa handsome zaidi ilihali hajazaliwa bado...UJINGA.
 
where is fuel coming about? Ours will be electrical run! In proper explanation electromagnet run. Even if ur rail is 100% flat the speed n axle load that necessitate many frequences of diesel run engine is uneconomical!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…