TZ secures 1.6tri/- landmark cassava investment deal

Tusiskie baadae vilio sjui mnataka kuzika wenyewe
Mkizika nyie ndio uchumi una kua.?

Mnadanganya wajinga, mlipiga mabilioni na " Kilimo kwanza" sasa tena mnaanza kudanganya watu viji program vya kukwapua mabilioni yetu.

Tutawatoa tu, jiandaeni kutuua au tupone mtatoka hili halina mjadala.

Huwezi kuiba, ukajificja kwenye dini, uzanzibari na uanauke eti tukuache.

D9 mtatoka ni lazima na hili halina mjadala.
 
Hivi kwa uvivu wa watanzania hasa wenzetu wa pwani mnafikiri wataweza kulima mihogo ya 1.6 trillion !
 
Mkizika nyie ndio uchumi una kua.?

Mnadanganya wajinga, mlipiga mabilioni na " Kilimo kwanza" sasa tena mnaanza kudanganya watu viji program vya kukwapua mabilioni yetu.

Tutawatoa tu, jiandaeni kutuua au tupone mtatoka hili halina mjadala.

Huwezi kuiba, ukajificja kwenye dini, uzanzibari na uanauke eti tukuache.

D9 mtatoka ni lazima na hili halina mjadala.
😂😂 karibu uwanjan
 
Back
Top Bottom