TZ Shilling: Ni aibu?


For them it is up to us...they do not care

Wana wasiwasi gani wakati wanauhakika wa kutanua tu hata kama shillingi imeshuka mpaka valuelesss....

Kwanza wakati we unazungumzia Tshs wenzako wanatembea na USD´s na Euro´s na ndio maana hawana ubavu wa kutazama upya matumizi yaliyokithiri ya dola kama currency ya manunuzi ya vitu mbalimbali kwenye maeneo yetu mengi.

Unaenda dukani unakuta kitu kinauzwa kwa USD badala ya Tshs bila sababu yoyote ya msingi unatarajia fedha yetu itakuwa na thamani?
 

Acha uongo wewe! nimetembelea hiyo link mbona nimehesabu nchi karibu 18 zilizoko hoi bora sisi, mfano zambia,yemen,Uganda nk
Tusijidharau kiasi hicho mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…