TZ Shilling: Ni aibu?

TZ Shilling: Ni aibu?

Wataalam,

Nimepitia hii tovuti kujua pesa yetu ukilinganisha na za nchi zingine. Mbona tuko karibu na mwisho? Ni Zimbabwe tu ndio tunawapita kwa mbali wengine ni atmost 3 times.

Tembelea tafadhali....

Calculator for Tanzanian Shilling (TZS) Currency Exchange Rate Conversion

Kweli viongozi wetu wanafurahi hii hali? Ukizingatia tuna rasilimali nyingi.

For them it is up to us...they do not care

Wana wasiwasi gani wakati wanauhakika wa kutanua tu hata kama shillingi imeshuka mpaka valuelesss....

Kwanza wakati we unazungumzia Tshs wenzako wanatembea na USD´s na Euro´s na ndio maana hawana ubavu wa kutazama upya matumizi yaliyokithiri ya dola kama currency ya manunuzi ya vitu mbalimbali kwenye maeneo yetu mengi.

Unaenda dukani unakuta kitu kinauzwa kwa USD badala ya Tshs bila sababu yoyote ya msingi unatarajia fedha yetu itakuwa na thamani?
 
Wataalam,

Nimepitia hii tovuti kujua pesa yetu ukilinganisha na za nchi zingine. Mbona tuko karibu na mwisho? Ni Zimbabwe tu ndio tunawapita kwa mbali wengine ni atmost 3 times.

Tembelea tafadhali....

Calculator for Tanzanian Shilling (TZS) Currency Exchange Rate Conversion

Kweli viongozi wetu wanafurahi hii hali? Ukizingatia tuna rasilimali nyingi.

Acha uongo wewe! nimetembelea hiyo link mbona nimehesabu nchi karibu 18 zilizoko hoi bora sisi, mfano zambia,yemen,Uganda nk
Tusijidharau kiasi hicho mkuu.
 
Back
Top Bottom