Tz sweetheart ni nani?

Wema ndio alianza kujiita tz sweatheart na sasa hamisa kaitwa sio kajiita tofautisheni so wema anajijua yeye ndio alikuwa na huo wadhifaa so asihangaike.
Ila sometimes kupigania kitu hata kama nikidogo nilazima .
Ni kama beka aliacha kuimba akaenda shule karudi beka flavour akadai yeye ndio achiwe hilo jina maana ni lake.
Nahuku mwenzie kaumiza kichwa kufahamika.
 
ivi kwani sweetheart ni nini kwani
GOOGLE BABY


HEHEHEHEH PAAAMBEEEE waambie haoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…