Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
- #21
Hatareewatajiju
Mimi ni JF SWEETHEART 💃😁💃
Na ni bonge la Indepedent Woman tangu kabla sijaolewa..
🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatareewatajiju
Mimi ni JF SWEETHEART 💃😁💃
Na ni bonge la Indepedent Woman tangu kabla sijaolewa..
🤣🤣🤣
DsmMkuu wa mkoa wa wa wa wa wa. . . . .[emoji18]
Doh team misa na ibada utawajua tuHamisa Tz sweetheart majina lazima yahame wema muda ushaishaa
Uuuwi me thimo mkifungwa
GOOGLE BABYivi kwani sweetheart ni nini kwani
Wema ndio alianza kujiita tz sweatheart na sasa hamisa kaitwa sio kajiita tofautisheni so wema anajijua yeye ndio alikuwa na huo wadhifaa so asihangaike.
Ila sometimes kupigania kitu hata kama nikidogo nilazima .
Ni kama beka aliacha kuimba akaenda shule karudi beka flavour akadai yeye ndio achiwe hilo jina maana ni lake.
Nahuku mwenzie kaumiza kichwa kufahamika.