Lamchina
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 240
- 120
It is totally boring kuona kuwa bunge la katiba linaendeshwa kwa itikadi ya U-CCM versus U-CHADEMA.
Haiwezekani kuona hoja ya marekebisho ikitolewa na pande yeyote kati ya hao mafahali wawili upandi mwingine waka-support Never happened! Why wanapishana kwa kiasi kikubwa hicho, kama wameshamaliza wiki mbili hata hawakinza kazi kubwa iliyowapeleka huko ni misunguano, mikwaruzo, mabishano, mizozo, matusi na kejeli ambazo hazina tija katika kuhakikisha tunapata katiba mpya , kweli tutapata katiba iliyo bora???
Kweli wametumwa na wananchi kwa itikadi ya kivyama au maslahi ya taifa???
We have long walk to realize truth and development agenda for Tz!