U 'lecturer' ni shida!

dawa2015

Member
Joined
Feb 19, 2015
Posts
76
Reaction score
24
Ninafundisha chuo somo fulani na huwa nakwenda vyuo vingine kufundisha part-time, ila kwa kweli visa vya wanafunzi wa kike vimenilegeza kabisa! Yaani utakuta unatoa lecture lakini unakuta mtoto wa kike amejichanua na anakuangalia, mara mwingine anajifanya hajaelewa na anauliza swali na ukiangalia kwake ndio kabisa.....vitu viko njenje....ukimwambia njoo ofisini ndio utaipata, utarudia somo na haelewi huku akilegeza mimamcho na kukuhemea sikioni!!!! Akijifanya akusikii....kama mko peke yenu ofisini utaona kila ukijitahidi kumuelewesha yeye anaangalia mdomo wako tu na macho yako huku akijilengesha....tena ukijifanya mgumu sasa wanakufanyia hivyo visa kutoka mmoja kwenda mwingine mpaka ulainike.....ole wako ukalale na mmoja wao kama ninavyoona kwa malecturer wenzangu.....na hapo ndio u lecturer basi...unatoa majibu ya mtihani bila shuruti!!! Unakuwa mdebwedo kwa wanafunzi wako! Halafu vitoto vyenyewe ni vizuri inataka moyo ila mimi nimeshinda majaribu mpaka sasa ila kwa kweli wakiendelea na mashambulizi namna hii sijui.....Malecturer poleni ila kuweni wagumu kama mimi na tutianeni moyo, na tuwasaidie wenzetu wanaoshindwa na majaribu!

Ila kuna wale malecturer wanaotumia nafasi zao vibaya! mnawapa watoto wawatu hypos ili muwagegede, acheni tabia hiyo chafu! Na ninyi wanafunzi mnaotutega malecturer acheni na mshindwe na mlegee......
 
Huo u lecture umesomea wapi ?
hamjafundishwa maadili ?
 
Huo u lecture umesomea wapi ?
hamjafundishwa maadili ?

Kinachozungumziwa hapa ni changamoto ya hoyi kazi, yaani uhalisia, na hakuna mtego mgumu kwa mwanadamu kama pesa (Rushwa) na ngono.......
 
Huo u lecture umesomea wapi ?
hamjafundishwa maadili ?

Mkuu hakuna Chuo kinafundisha lectures unless unazungumzia wale wa vyuo vya ualimu kwa ajili ya secondary na Primary
 
Kama ni lecturer unaejiheshim hakuna mtoto wa kike anaeweza kukufanyia ujnga huo..."

Umetoboa mule mule mkuu....hvi vitu havianzi hvi hvi kijinga jinga....kuna loop hole mahali...

All in all hawa watoto wa kike bwana wakiamua kukuweka mtegoni huchomoi....especially akiwa amejaa jaa. Bonge la fursa hilo aisee.Tehe.

Alaf inakuaga siri sanaa....dem haingii class alaf paper la accounting ana banda. Shida sanaa. Tehe
 
Mkuu hakuna Chuo kinafundisha lectures unless unazungumzia wale wa vyuo vya ualimu kwa ajili ya secondary na Primary

kuna wengine malecture wa mapishi ndio maana namuuliza
 
Umenikumbusha mbali sana enzi hizo nikiwa mwalimu nafundisha shule moja ya sekondali nikiwa mwalimu wa math na geo wakati huo huo mkuu wa shule akaniteua kuwa mwalimu wa malezi na nidhamu
Basi kipindi hicho umri wangu bado sana yaani ujana ulikuwa bado haujanitoka
Ikawa kila jioni vitoto vya kike vinakuja kwenye nyumba za walimu kwa kisingizio kwamba wanaomba maji ya kunywa
Kwa kutambua hatari iliyokuwa inaninyemelea ilibidi siku moja nitangaze parede kwamba ipo sheria moja ya shule ambayo imekuwa ikivunjwa sana na wanafunzi ama kwa makusudi au kwa kutokujua sheria hiyo ni "Ni marufuku kwa mwafunzi kuonekana kwenye maeneo ya nyumba za walimu bila sababu yoyote ya msingi na wale wanaokuja kuomba maji kwangu mida ya jioni nawatngazia hapa leo ni marufuku kuja nyumbani kwangu "
Wanafunzi wote kimyaaaaa...! Wakajua yes teacher leo ameamua kutuchana live!!! tokea siku hiyo hakuna hata kabinti kkokote kalikosubutu kuja kwangu
Ushauri wangu kwa nyie malecture
Onyesha msimamo wako tu kwa hao mabinti na bila shaka wataheshimu maamuzi na misimamo yako tofauti na hivyo watakushika mpaka sharubu na ole wako ukalala na mmoja wao basi wewe ndo utakuwa shemeji yao
 

Mkuu umenena vyema sana, hawa watoto wanavituko hasa na wako tayari kufanya lolote wafaulu! hawataki kusoma na hasa wakigundua kuwa lecturer ni kito.mb... ndio basi tena!
 
Kuna Mwanaume Jasiri Mbele Ya " MBUNYE " Tena Iliyonona? au Wenzetu Nyie Mnaojifanya Kuwa Na Maadili Ni Wazee Wa Magomeni Mapipa?

Khaaaah!!! Kwi kwi kwi kwi........Dah! Watu wanajifanya mafarisayo!!!!!
 
We c sio watoto bhana,Mambo gan unatuletea ya kitoto kabsa lecture? Mfyuuuuuuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…