U-Marioo tabu tupu

U-Marioo tabu tupu

Ndivyo ulivyo mkuu mwanaume n kula Kwa jasho nawe huna budi kutoa hlo jasho Ili ulee...VP ajakulipia gmy ukuze mwili😅😅😅😅

Ila maishà n nyokoo sanaa😅
Usikute kamtengenezea vile vyuma local, huku kopo la zege na huku kopo la zege, hamna kutoka poga tizi ndani. Mwisho wa siku anajazia kushoto anakonda kulia😂😂
 
jitunze basi,,nikiwa mshangaz nitakutafuta

Kila kitu kipo kasoro umri na mikono yenye pingili pingili.
 
Mashangazi wengine wananyanyasa sana vibenteni, tena ukute shangazi la kanda fulani fulani za Tanzania.
Kwanza wa bahili kutoa pesa na wakikupa ni kwa masimango na unaifanyia kazi kwelikweli.

Wanaweza hata kukupa kazi ya kufua nguo za ndani, unakuta kajaza kitenga cha nguo hadi zaidi ya 40. Ukitoka hapo uingie jikoni kupika, ukimaliza uoshe vombo.

Yeye ananenepa we unakonda kwa mateso unayopitia. Msione kibenteni kinaishi maisha mteremko mkadhani kwa wepesi. Mambo magumu kwa ground.

Hapo pia sometimes inakulazimu kuharibu nguvu za kiume kwa kupaka mkongo ili usiwe na kazi mbaya kwa ofisi.

Kazi ya hasara sana hii.....😂😂
tiGo hakupi?
 
Back
Top Bottom