U-marioo wa kina kaka unawafedhehesha

U-marioo wa kina kaka unawafedhehesha

Wacheni tuwe mamarioo tu, maana wanawake wa sasaivi ukimuonyesha pesa tu atakuchuna mpaka utoke vidonda, ila ukiwapatia tyming tu hapo hapo na wewe unajibebisha and then anamwaga mpunga
 
Wacheni tuwe mamarioo tu, maana wanawake wa sasaivi ukimuonyesha pesa tu atakuchuna mpaka utoke vidonda, ila ukiwapatia tyming tu hapo hapo na wewe unajibebisha and then anamwaga mpunga
Ninaogopa sana marioo kama huna pesa nenda
 
Marion wanamapenzi ya usanii akiangalia maslahi yake anaweza kukupeleka weekend Bagamoyo lakini in the long run utailipia tu ile weekend
Kama mimi siwezi kutumia nguvu nyingi kukufikisha Kileleni Alafu nikuonge , kwa hapo utanisamehe tu,
Ila nikiwa marioo kwako hata Mabao 5 ntakukojolesha .
 
Pesa ninazo na kukuonga na kuonga tu, Ila Sikufikishi kileleni.
Na pesa sina Ila nina mapenzi ya dhati kwako na kwenye Kusex nakufikisha kileleni vizuri sana tena zaidi ya Mara 3 .
Bora nini hapo?
bora pesa
 
Maisha yangu tusipangaine namna ya kuishi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Pesa ninazo na kukuonga na kuonga tu, Ila Sikufikishi kileleni.
Na pesa sina Ila nina mapenzi ya dhati kwako na kwenye Kusex nakufikisha kileleni vizuri sana tena zaidi ya Mara 3 .
Bora nini hapo?
Hivi kuna tofauti kati ya dada poa na mario?
 
Mungu angetupa kidarubini kila NTU amwone nke wake,..manake kuudumia wake za watu nahisi ndo inaleta aya mambo,...mi nke wangu ata aniombe nn ntampa na natumaini yeye pia atanipa chochote nachotaka
 
Back
Top Bottom