U - 'nice guy' umeniponza

Kupigwa kupo
 
Jenga kanuni na misimamo yako ktk maisha usipende kuishi maisha ya mtu mwingine au kijifananisha na mwingine narudia usipende kijifananisha na mwingine fata kanuni na misimamo yako na ktk show piga show mtoto ashibe vzr ukimaliza fanya mambo yako kama ni kazi piga kazi haswa USIYUMBISHWE ISIFATE MIKUMBO NA MANENO YA WATU be REAL MAN huo ujinga wa kijita nice guy ufe leo
 
Sasa unamwambia awe really akati yeye kuwa nice boy ndo nature yake..[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Tatizo lilianzia hapa
 
 
Naam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…