The Butcher
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 348
- 491
OyaaKuna kitu hujakijua kuhus wanawake.. njo inbox nkuambie!
You gonna change surely
Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OyaaKuna kitu hujakijua kuhus wanawake.. njo inbox nkuambie!
You gonna change surely
Umeonaee mambo ya kvant, double kick, leaders we unakunywa juice wapi na wapiWewe kula viepeee mwenzio anakula vitu vigumu
Wanawake mdomoni wanapendaga kusema ooh nataka mwanaume mpole mcha Mungu anayenijali na kuniyai yai...... Ili aonekane. Mbele za watu kuwa yuko decent lakini ukweli ni kuwa wanawake Wanapenda Madrama.... Mwanaume muhuni muhuni tu hana time nae ndo hao wanao wapenda ukijifanya ALEHANDRO kama kwenye LA MUJER DE MI VIDA jua imekula kwako. Just use the 12th Man theory and you will be fine.
Kwani kunywa juice ni tatzo mkuuumeonaee mambo ya kvant, double kick, leaders we unakunywa juice wapi na wapi
Ahsante sana kaka kwa ushauri murusUsi force mambo we endelea na tabia yako njema, ipo siku utampata atakayekuelewa
This reply worth a golden medalBwahahahaha, kweli GOOD GUYS FINISH LAST. Pole sana braza lakini makosa uliyayafanya mwanzoni kabisa ni kumpa huyo mwanamke unnecessary attention and validation. Women feed on attention and crave for validation same-way a junkie thirsts for heroine. Mara nyingine
This reply worth a golden medalBwahahahaha, kweli GOOD GUYS FINISH LAST. Pole sana braza lakini makosa uliyayafanya mwanzoni kabisa ni kumpa huyo mwanamke unnecessary attention and validation. Women feed on attention and crave for validation same-way a junkie thirsts for heroine. Mara nyingine
[emoji38][emoji38][emoji38]Wewe kula viepeee mwenzio anakula vitu vigumu
Kwahiyo lazima atakuwa KEAlisema 25 Mkuu [emoji23][emoji23]
yaani comments zako zimenikosha moyo, u said it all brotherKukataliwa ni sehemu ya maisha ya mtoto wa kiume, hivyo zoea na wala usijione una tatizo.
Narudia tena usiwape wanawake bila sababu unnecessary attention, resources and validation.
Pia achana kabisa na hao hood-rats wa uswahilini, tafuta wanawake wenye akili timamu.
niachie mbavu zangu puliiiizeNaaa....hakunaga kitu huwa inavuruga kichwa cha mwanamke kama kukutana na bad boy halafu hana hela....
"Yani be likeee ooh bad boy, mtamu kama hela ya ada, ooohh jameni viuno vyooote halafu iishe na ahsante!!! Ooohh no no namuacha siwezi, ooohh siwezi muachaaaa anakunaga kila mahali ooh no hanipi kitu ntamuacha namuacha oooohh simuachi analambaga kila kitu"
View attachment 2016927
jamani, ushauri gani sasa unampa mwenzako,,,wanawake sio chombo cha starehe nakataaaAcha tabia ya kumuonea huruma mwanamke, anza kuwaza kwamba mwanamke ni chombo cha starehe tu na always tumia amri usibembeleze mwanamke. Hapo utafaulu yani.
Dhamira iwe wazi toka mwanzo kuwa lengo ni kumtafuna kimasihara sio kuanza kuulizana story za shuleni 😅 huwa wanajiongeza wenyewe wanajua cha kufanya!
Heee, kwa hiyo umemuelewa? Jamani jamaniBila coment yako huu uzi ungekuwa aujakamilika ila sasa mod anaweza kuufuta tu
Wanaume loooh, mimi nimebaki kucheka tu mbinu zenu ni hatari fayaaaaaaaaaaaaaaaaaaUsijarb kujibadilisha uwe muhuni eti uvute bangi na ww, issue sio personality ni strategy tu, plan A imefail jrb plan B
Muhuni akishamaliza yake na kumuacha, lazma akutafute, akijilengesha kwny 18 zako mle na mpige chini ili akuheshimu na ww, Ila vaa protection asikubambikie mimba.
Akiingia tena magetoni kwako less talk more action, mshike shike mpapase masikioni, chuchu na mbunye hadi alainike then mchomeke fululiza angalau week moja umalize frustration yako kwake then mpige chini achana nae kwasababu hajielewi hana akili pamoja na uzuri wake.
Salama sana Kenny, yaani huu uzi umenifanya nichelewe kwenda lunchMambo mkuu