U - 'nice guy' umeniponza

U - 'nice guy' umeniponza

Wanawake mdomoni wanapendaga kusema ooh nataka mwanaume mpole mcha Mungu anayenijali na kuniyai yai...... Ili aonekane. Mbele za watu kuwa yuko decent lakini ukweli ni kuwa wanawake Wanapenda Madrama.... Mwanaume muhuni muhuni tu hana time nae ndo hao wanao wapenda ukijifanya ALEHANDRO kama kwenye LA MUJER DE MI VIDA jua imekula kwako. Just use the 12th Man theory and you will be fine.

Eti alehandro!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bwahahahaha, kweli GOOD GUYS FINISH LAST. Pole sana braza lakini makosa uliyayafanya mwanzoni kabisa ni kumpa huyo mwanamke unnecessary attention and validation. Women feed on attention and crave for validation same-way a junkie thirsts for heroine. Mara nyingine
This reply worth a golden medal
 
Usijarb kujibadilisha uwe muhuni eti uvute bangi na ww, issue sio personality ni strategy tu, plan A imefail jrb plan B

Muhuni akishamaliza yake na kumuacha, lazma akutafute, akijilengesha kwny 18 zako mle na mpige chini ili akuheshimu na ww, Ila vaa protection asikubambikie mimba.

Akiingia tena magetoni kwako less talk more action, mshike shike mpapase masikioni, chuchu na mbunye hadi alainike then mchomeke fululiza angalau week moja umalize frustration yako kwake then mpige chini achana nae kwasababu hajielewi hana akili pamoja na uzuri wake.
 
Wanawake hupenda wanaume wasiyoeleweka mida mingine, anaweza kujua ni kicheche ila humwambii kitu juu yake. Usifikiri kuwa msafi ndiyo unaweza kumvutia, hiyo ni big No. Ulikosea sana kumfikiria hivyo, ukijua unaweza kumpata.

Sasa wewe punguza kujifanya nice guy, chukua chombo njoo chapa hapo geto wajue kazi yako utakuja kuniambia itakuwaje
 
Pole Mkuu.

Hawa viumbe ni watu wabaya sana, wanasababisha wanaume tuigize uhalisia ambao siyo asili yetu.

Dawa ya masononeko yako kuwa malaya, kuanzia sasa demu atakayejipendekeza piga pumbu kwa fujo halafu kila mtu apite hivi. Ukifanya hivyo huyo demu utamsahau sekunde tu.

Usijilinganishe na huyo msela mla ganja, concetrate kupiga show kali ya kibabe.
 
Kukataliwa ni sehemu ya maisha ya mtoto wa kiume, hivyo zoea na wala usijione una tatizo.
Narudia tena usiwape wanawake bila sababu unnecessary attention, resources and validation.
Pia achana kabisa na hao hood-rats wa uswahilini, tafuta wanawake wenye akili timamu.
yaani comments zako zimenikosha moyo, u said it all brother
 
Naaa....hakunaga kitu huwa inavuruga kichwa cha mwanamke kama kukutana na bad boy halafu hana hela....

"Yani be likeee ooh bad boy, mtamu kama hela ya ada, ooohh jameni viuno vyooote halafu iishe na ahsante!!! Ooohh no no namuacha siwezi, ooohh siwezi muachaaaa anakunaga kila mahali ooh no hanipi kitu ntamuacha namuacha oooohh simuachi analambaga kila kitu"
View attachment 2016927
niachie mbavu zangu puliiiize
 
Acha tabia ya kumuonea huruma mwanamke, anza kuwaza kwamba mwanamke ni chombo cha starehe tu na always tumia amri usibembeleze mwanamke. Hapo utafaulu yani.

Dhamira iwe wazi toka mwanzo kuwa lengo ni kumtafuna kimasihara sio kuanza kuulizana story za shuleni 😅 huwa wanajiongeza wenyewe wanajua cha kufanya!
jamani, ushauri gani sasa unampa mwenzako,,,wanawake sio chombo cha starehe nakataaa
 
Usijarb kujibadilisha uwe muhuni eti uvute bangi na ww, issue sio personality ni strategy tu, plan A imefail jrb plan B

Muhuni akishamaliza yake na kumuacha, lazma akutafute, akijilengesha kwny 18 zako mle na mpige chini ili akuheshimu na ww, Ila vaa protection asikubambikie mimba.

Akiingia tena magetoni kwako less talk more action, mshike shike mpapase masikioni, chuchu na mbunye hadi alainike then mchomeke fululiza angalau week moja umalize frustration yako kwake then mpige chini achana nae kwasababu hajielewi hana akili pamoja na uzuri wake.
Wanaume loooh, mimi nimebaki kucheka tu mbinu zenu ni hatari fayaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom