Nilishamwambia several times aache kuwa delusionalSawa, lakini New York Supreme Court siyo US Supreme Court. Hiyo article inayoumzungumzia JFK halafu na kutoa habari kuwa US Supreme Court ili toa maamuzi ambayo yamefichwa ni upotoshaji unaotokana na conspiracy theories.
Unaweka link yenye habari ambayo ni credible, lakini heading unaiweka kwa kutumia habari ya udaku.
Ndiyo maana kwa kuanzia kwenye upotoshaji wako, nakujulisha kuwa mahakama kuu ya New York siyo mahakama kuu ya Marekani.
Tuweze link ya hiyo habari ya kesi ambayo mahakama kuu ya marekani ilitoa maamuzi ambayo yamefanywa ni siri.