U.S Africa Business Forum, Secretary John Kerry and Panel Discussion

ulitaka JK aharibu ili ulete ujinga wako humu.
unatamani angepelekwa shirima au masawe akaongee. JK anawafanya mjione wajinga sana

Senegal na Ghana ndio wana Marais ....
 
Nicholas,

..nakubaliana na wewe kwamba moderators wetu mara nyingi wanapwaya.

..kwanza maswali yao yako so predictable. pia hawana follow up questions.

cc Pasco

Mkuu ni kote huko mpaka wandishi wa habari! Ndo maana Che Nkapa liliwakataa hawana weredi wa kuhoji maswala ya Msingi! Ukikuta wanahoji gamba lolote hautakosa kusikia wanauliza swali elekezi! Hata gamba limechemka hutasikia wanalibishia!! JMK ni dhaifu mno kwenye hoja za kimataifa, sasa hapo alikuwa anajinasua kwamba asiulizwe habari ya Ebola kwa vile iko A.magharibi? Useless rais!

Pamoja na kukaa muda mrefu mambo ya nje haikumsaidia kupanua uelewa Wa mambo! Hivi ni akina nani alisoma nao tangu sekondari mpaka chuo watueleze huyu kilaza alikuwa anaweza nini huko?
 
Last edited by a moderator:

..JK alianguka kwenye swali la ebola na baadaye swali linalohusu security.

..maswali yote hayo yalikuwa ni OPPORTUNITY ya Maraisi wale kuziuza nchi zao na Afrika kwa ujumla.

..kwanza JK alianza kwa kusema Ebola iko West Africa na Tanzania iko East Africa...ukumbi ukaangua kicheko!!

..kwa mtizamo wangu JK was supposed to craft his answer more cleverly. kitu cha kwanza alitakiwa aonyeshe empathy kwa wahanga wa ebola. baada ya hapo aeleze juhudi ambazo zinafanyika kupambana na janga hilo, hatua za tahadhari zinazochukuliwa na nchi nyingine, na mwisho aeleze kwamba ni nchi 3 zimeathirika kati ya nchi 53.

..kitendo cha JK kukurupuka na kusema ebola iko west africa maana yake ni kwamba kambwagia manyanga yule Raisi wa Senegal ambao wako west of Africa. katika medani ya diplomasia hicho siyo kitendo kizuri.

..kuhusu "UONGO" nakuomba uende ukasikilize exchange kati ya JK na Raisi wa Tunisia. Kwa upande mmoja namlaumu yule Raisi wa Tunisia for what he did. Kwa upande mwingine namlaumu JK kwa uzembe wake na majibu yanayo-attract kukatizwa na wenzake au moderators. Zaidi, namlaumu JK kwa kushindwa ku-recover frm that incidence na kuja kufukia-fukia makosa aliyoyafanya.

..Mwisho, I just want our President to be a WINNER. I dont want him to be average or put up a "so-so" perfomance.

..Labda mwenzangu una standards tofauti, lakini kwa upande wangu siwezi kusema kwamba JK was the winner, au Tanzania iliibuka kidedea ktk mdahalo ule.

cc Nguruvi3, Pasco
 
Last edited by a moderator:
unfortunately after being born very little can be done to enhance one's IQ, contrary to popular belief. Our president always is an average IQ kind of president, which he hides very well by being over charismatic.So, once intelligent questions starts to flow we all know whats up.

I have said many times, expecting JK to perform above his otherwise limited intelligence allowes him is putting expectations on the wrong corner of things..
 
Siyo hiyo tu. Tunauza nini kwenye soko la Marekani? Miaka yote ya AGOA tumeshindwa hata kufufua viwanda vya nguo.

Serikali ipo busy kununua mashangingi badala ya kufufua nyumbu
 

mkuu umeniwahi!!! S korea singapore nk zilikuwa km cye miaka 1960 lkn Leo wenzetu wako wapi? Na sie tuko wapi???
 

.....halafu JK akashangaa kusikia watu wanacheka kutokana na jibu lake!!......hii issue kama ya Ebola ilikuwa ni issue rahisi sana kuijibu kwa sababu kila kukicha ni issue inayoongelewa kwa kina.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…