U.S Africa Business Forum, Secretary John Kerry and Panel Discussion

U.S Africa Business Forum, Secretary John Kerry and Panel Discussion

Nicholas,

..nakubaliana na wewe kwamba moderators wetu mara nyingi wanapwaya.

..kwanza maswali yao yako so predictable. pia hawana follow up questions.

cc Pasco

Mkuu ni kote huko mpaka wandishi wa habari! Ndo maana Che Nkapa liliwakataa hawana weredi wa kuhoji maswala ya Msingi! Ukikuta wanahoji gamba lolote hautakosa kusikia wanauliza swali elekezi! Hata gamba limechemka hutasikia wanalibishia!! JMK ni dhaifu mno kwenye hoja za kimataifa, sasa hapo alikuwa anajinasua kwamba asiulizwe habari ya Ebola kwa vile iko A.magharibi? Useless rais!

Pamoja na kukaa muda mrefu mambo ya nje haikumsaidia kupanua uelewa Wa mambo! Hivi ni akina nani alisoma nao tangu sekondari mpaka chuo watueleze huyu kilaza alikuwa anaweza nini huko?
 
Last edited by a moderator:
Kutafsiri fasihi ni kazi ya fanani....
Audience/Fanani wataamua ,kwa mfano wewe umeshaamua kuhusu ujumbe wa JK na African leaders ,mimi nimeelewa nilivyo elewa, investor mmoja mmoja kaelewa alivyoelewa.Je is mission accomplished hilo yutalijua baada ya kuona respond ya investors...remember hao jamaa wamekuwa wakimpa tuzo za kila aina 1.Impact Leader in Africa 2.Democratic leader of the year in Africa .....Tanzania wanakuja tuu there are potential

Uongo gani aliosema?sehemu gani?
Sehemu ambayo moderator aliongezea swali ni pale JK aliposema kuwa Ebola ipo west and Tanzania iko East africa,moderator akasema kuna ndege pia ,JK aka support ku clarify akasema sio hivyo tuu ila mwaka jana ebola ilikuwa Uganda and kuna mwaka ilikuwa DRC zote ziko mipakana na Tanzania akimaanisha anaungana na moderator kuwa ebola ni concern ya kila mtu ,akaelizea jinsi nchi kama Tanzania walivyojipanga kukabili kwa maana ya kutambua symptoms and contain kwa level ndogo.....
Bro they are bad and good story about Africa...they were there for good story so that investors can come.
Sijawahi mtetea JK wala CCM ila kwa hili namtetea NA bottom-line na support alivyo present...may be he could do better but pia hajaharibu kama inavyotaka kuonyeshwa hapa

..JK alianguka kwenye swali la ebola na baadaye swali linalohusu security.

..maswali yote hayo yalikuwa ni OPPORTUNITY ya Maraisi wale kuziuza nchi zao na Afrika kwa ujumla.

..kwanza JK alianza kwa kusema Ebola iko West Africa na Tanzania iko East Africa...ukumbi ukaangua kicheko!!

..kwa mtizamo wangu JK was supposed to craft his answer more cleverly. kitu cha kwanza alitakiwa aonyeshe empathy kwa wahanga wa ebola. baada ya hapo aeleze juhudi ambazo zinafanyika kupambana na janga hilo, hatua za tahadhari zinazochukuliwa na nchi nyingine, na mwisho aeleze kwamba ni nchi 3 zimeathirika kati ya nchi 53.

..kitendo cha JK kukurupuka na kusema ebola iko west africa maana yake ni kwamba kambwagia manyanga yule Raisi wa Senegal ambao wako west of Africa. katika medani ya diplomasia hicho siyo kitendo kizuri.

..kuhusu "UONGO" nakuomba uende ukasikilize exchange kati ya JK na Raisi wa Tunisia. Kwa upande mmoja namlaumu yule Raisi wa Tunisia for what he did. Kwa upande mwingine namlaumu JK kwa uzembe wake na majibu yanayo-attract kukatizwa na wenzake au moderators. Zaidi, namlaumu JK kwa kushindwa ku-recover frm that incidence na kuja kufukia-fukia makosa aliyoyafanya.

..Mwisho, I just want our President to be a WINNER. I dont want him to be average or put up a "so-so" perfomance.

..Labda mwenzangu una standards tofauti, lakini kwa upande wangu siwezi kusema kwamba JK was the winner, au Tanzania iliibuka kidedea ktk mdahalo ule.

cc Nguruvi3, Pasco
 
Last edited by a moderator:
unfortunately after being born very little can be done to enhance one's IQ, contrary to popular belief. Our president always is an average IQ kind of president, which he hides very well by being over charismatic.So, once intelligent questions starts to flow we all know whats up.

I have said many times, expecting JK to perform above his otherwise limited intelligence allowes him is putting expectations on the wrong corner of things..
 
Siyo hiyo tu. Tunauza nini kwenye soko la Marekani? Miaka yote ya AGOA tumeshindwa hata kufufua viwanda vya nguo.

Serikali ipo busy kununua mashangingi badala ya kufufua nyumbu
 
Hiyo ya ukoloni si ahbari ena acheni uzembe.Taiwan,Hong Kong,South Africa, S korea, etc hazijawahi kuwa huru..kutoka kwa mkoloni mmoja hadi mbabe wa kichina.Yaani wamerudishwa kutawaliwa na mtu aliyepo nyuma kuliko wao ktk kila nyanja zaidi ya wingi wa watu.China wenyewe na nchi nyingine km thailand,malaysia, etc walipata uhuru na sisi na baada yetu.Utumwa wetu ni ktk fikra,kugushi,kujifunza vitu nusu nusu, na kuviacha kukimbilia vingine,kuambina ujinga na wengine kutusupport

mkuu umeniwahi!!! S korea singapore nk zilikuwa km cye miaka 1960 lkn Leo wenzetu wako wapi? Na sie tuko wapi???
 
Kwa kweli Kikwete ni hasara! Ni Swali rahisi sana liliulizwa kwamba: Ninyi mkiwa kama viongozi wa Africa, ni nini mtazamo wenu kuhusu ugonjwa wa Ebola?

Jibu la rais Kikwete: Ebola ipo huko Afrika magharibi, Tanzania iko Afrika mashariki. Hata hivyo Tanzania tunajitahidi kujijengea uwezo ili pindi ugonjwa huo utakapoingia Tanzania tuweze kuufahamu...

Jibu la rais wa Senegal: Ugonjwa wa Ebola usichukuliwe kama ugonjwa wa Afrika tu bali kama janga la kibinadamu. Natoa mwito kwa viongozi wenzangu wa Afrika na dunia, tushirikiane wote ili tuweze kuutokomeza huu ugonjwa. Vilevile natoa mwito kwa wanasayansi wote duniani kufanya utafiti ili kujua chanzo cha ugonjwa huu ulioathiri maisha ya watu wengi hadi sasa.

My Opinion: Nachelea kusema kwamba hilo jibu la rais wetu ni jibu la watoto wa chekechea. Kwa mara ya kwanza nimemkumbuka rais mstaafu Mkapa. Haya mambo yeye alikuwa anayaweza. !

.....halafu JK akashangaa kusikia watu wanacheka kutokana na jibu lake!!......hii issue kama ya Ebola ilikuwa ni issue rahisi sana kuijibu kwa sababu kila kukicha ni issue inayoongelewa kwa kina.......
 
Back
Top Bottom