Uchaguzi 2020 U.S. Senate: Disturbing 'trend' of opposition party leaders in Tanzania being arrested leading up to Oct. Elections

Shida wengi wanaocomment positively humu ni watu wa serikali just ignore there statements, mambo yakigeuka wao wana disappear, nchi hii imejitenga na lazima hasara yake tutaiona tuu
Unaposema watu wa Serikali wewe unajiweka kwenye kundi gani? Je, wao hawatakiwi kuwa na maoni? Waki-disappear wanakwendaga wapi? Je, Tanzania imejitenga na nani?
 
Mungu wabariki wazungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…