Uchaguzi 2020 U.S. Senate: Disturbing 'trend' of opposition party leaders in Tanzania being arrested leading up to Oct. Elections

Uchaguzi 2020 U.S. Senate: Disturbing 'trend' of opposition party leaders in Tanzania being arrested leading up to Oct. Elections

Kuna tetesi kwamba baadhi ya wabunge wa kike na wa kiume DJ huwa anawapitia...

Na wafuasi waaminifu kama wewe huwa mnapitiwa.....

Sikujibu tena kwakuwa sio sehemu ya maisha yangu....
Sasa kama unawaonea wivu wabunge wa Kike wanaochapwa na DJ wewe si utakuwa Chakla kabisa
Yaani Maji Mara Moja

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
U.S. Senate Foreign Relations.

Yesterday's arrests of @zittokabwe, Tanzanian opposition party leader of @ACTwazalendo, and several members of his party reflect a deeply disturbing trend of opposition party leaders and journalists in #Tanzania being arrested on contrived charges leading up to Oct. elections. :- Sen. Jim Risch, R. Idaho. Committee Chairman.

View attachment 1488178
========

Kwa utetezi wowote ule tutake tusitake vitendo hivi vinaleta picha mbaya kwa nchi yetu.

Jamaa (mabeberu) wanakusanya data taratibu hadi kufikia ujio wa Lissu hata wakiamua kutunyoa tayari watakuwa na cha kuiambia dunia.
HA HA HA HA MBONA UBAGUZI WA RANGI KULE KWAO HAWAZUNGUMZIII NA HAWAJATATUA MATATIZO YAO WANAONA YA WATU HAKIKA CHUMA NI KIBOKO YAO
 
Tume
U.S. Senate Foreign Relations.

Yesterday's arrests of @zittokabwe, Tanzanian opposition party leader of @ACTwazalendo, and several members of his party reflect a deeply disturbing trend of opposition party leaders and journalists in #Tanzania being arrested on contrived charges leading up to Oct. elections. :- Sen. Jim Risch, R. Idaho. Committee Chairman.

View attachment 1488178
========

Kwa utetezi wowote ule tutake tusitake vitendo hivi vinaleta picha mbaya kwa nchi yetu.

Jamaa (mabeberu) wanakusanya data taratibu hadi kufikia ujio wa Lissu hata wakiamua kutunyoa tayari watakuwa na cha kuiambia dunia.
teshawazoea. Dawa unawachunia tu.
 
Wanaogopa wasije kupigiwa kelele na jumuia ya kimataifa, wanavuta muda.

Ndio maana wanaandika kwenye Tweeter kila ovu linalotendeka, hatujui wamepanga zifikeTweets ngapi ndio watume drone, tuendelee kuomba rehema.
Watume drone kisa zito? Ufipa bhana mko desperate sana
 
Polisi waliomuua Floyd tayari wamefunguliwa mashitaka ya kuua kwa kukusudia na wapo mahabusu hadi leo, huo ndio utawala wa sheria, jiulize polisi waliomuua Akwilina wako wapi leo kama sio kupandishwa vyeo.
An excellent argument. Umemjibu vizuri sana
 
Wako mahabusu mpaka leo... mmoja kaonekana walmart na kashambuliwa na wananchi..... mpiga vigelegele unashangilia usilolijua.

Shinikizo la kushtakiwa hao polisi limegharimu watu over 10,000 kwenda jela... weusi... madhara ya kwenda jela marekani ni kuharibiwa maisha kutokana na record yako...
Think big na ielewe marekani... weusi wanapigwa kila angle. Na kila kinachotokea ni game la kuwaharibia maisha yao zaidi.. vurugu na maandamano yalichochewa ba weupe hasa system ili kuwaharibia maisha weusi zaidi ya elfu 10... nyambafff.

Unajua kuwa hata drugs kwa weusi ni kazi ya system? Hata guns wanazotumia kuuana wanasambaziwa na system?

Endelea kuunga mkono na kupongeza ujinga[emoji3][emoji3]
An excellent argument. Umemjibu vizuri sana
 
U.S. Senate Foreign Relations.

Yesterday's arrests of @zittokabwe, Tanzanian opposition party leader of @ACTwazalendo, and several members of his party reflect a deeply disturbing trend of opposition party leaders and journalists in #Tanzania being arrested on contrived charges leading up to Oct. elections. :- Sen. Jim Risch, R. Idaho. Committee Chairman.

View attachment 1488178
========

Kwa utetezi wowote ule tutake tusitake vitendo hivi vinaleta picha mbaya kwa nchi yetu.

Jamaa (mabeberu) wanakusanya data taratibu hadi kufikia ujio wa Lissu hata wakiamua kutunyoa tayari watakuwa na cha kuiambia dunia.
Hawa United States senate wamalize matatizo yao ya kibaguzi na maandamano yao kabla ya kuja kutufundisha sisi nini maana ya demokrasia.
Tumeona mataifa kama Israel Misri na Saud Arabia wanakiuka vibaya sana haki za binadamu lakini Marekani kupitia hiyo Senate ndio watetezi wakubwa wa nchi hizo.
Tanzania ni nchi yenye amani na umoja haihitaji kufundishwa nini maana ya demokrasia
 
Shida wengi wanaocomment positively humu ni watu wa serikali just ignore there statements, mambo yakigeuka wao wana disappear, nchi hii imejitenga na lazima hasara yake tutaiona tuu
 
Back
Top Bottom