pamoja Santa
JF-Expert Member
- Jan 6, 2019
- 743
- 1,148
Huoni yanayoendelea huko
Yapi yalowashinda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yapi yalowashinda?
Hao Chadema wanaomtetea si wamewaambia kama ana kosa wamkamate, ina maana Chadema imewazidi nguvu polisi na mahakama.Chadema mnaomtetea ma ccm wasiomkamata inatofauti gani boss??
Shame sh*t[emoji3][emoji3]
Hao Chadema wanaomtetea si wamewaambia kama ana kosa wamkamate, ina maana Chadema imewazidi nguvu polisi na mahakama.
Polisi waliomuua Floyd tayari wamefunguliwa mashitaka ya kuua kwa kukusudia na wapo mahabusu hadi leo, huo ndio utawala wa sheria, jiulize polisi waliomuua Akwilina wako wapi leo kama sio kupandishwa vyeo.
Wamnyoe Trump kwanzakutunyoa
Uchaguzi huru na haki?.?U.S. Senate Foreign Relations.
Yesterday's arrests of @zittokabwe, Tanzanian opposition party leader of @ACTwazalendo, and several members of his party reflect a deeply disturbing trend of opposition party leaders and journalists in #Tanzania being arrested on contrived charges leading up to Oct. elections. :- Sen. Jim Risch, R. Idaho. Committee Chairman.
View attachment 1488178
========
Kwa utetezi wowote ule tutake tusitake vitendo hivi vinaleta picha mbaya kwa nchi yetu.
Jamaa (mabeberu) wanakusanya data taratibu hadi kufikia ujio wa Lissu hata wakiamua kutunyoa tayari watakuwa na cha kuiambia dunia.
Pumbavu unadhani Tanzania tu ndiyo kwenye wanyama na madini? Ujinga wako ni zaidi ya kipaji!Nyumbu mjanja anaamini kutuibia is all about ukoloni...... ujinga ni kipaji[emoji3][emoji3]
Nenda Texas ukaone wanyama wa TZ walivyojaa kwenye maranchi....
Kwenye madini kuna mikono yao
No ... naungana nawewe wamarekani wanatupenda sana na wanapenda demokrasia duniani..
Toto langu likiwa nyumbu nalifukuza nyumbani[emoji3][emoji3]
Tunavuna tunachopanda!Hakika nchi yetu "inanuka" huko kwenye jumuia ya kimataifa
Lol, you have experience kabisa ya kufanywaKama walivyoshindwa kuchunguza ulipotekwa wakadidimiza bila lubricant[emoji3][emoji3]
They are bad people....polisisiemuz wabaya
Pumbavu unadhani Tanzania tu ndiyo kwenye wanyama na madini? Ujinga wako ni zaidi ya kipaji!
Pumbavu!Povu la nn?
Wakikutembeza kuona wanyana wanasema from Tanzania.
Matusi ni kipaji chetu sisi manyumbu?
I wonder why U.S delaying interference in Bongo. As I remember, you taught Libya, Iraq etc good behavior. Why not BONGO?
Improvement is another case my young brother but I do implore U.S to interfere in order to teach your god how to behave than oppressing people.Has the situation in Iraq or Libya improved today after the intervention of your gods?!
Improvement is another case my young brother but I do implore U.S to interfere in order to teach your god how to behave than oppressing people.
Hahahahah.Do not permit other people to think for you.