Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,681
- 8,241
Halafu tunawaomba watusamehe madeni yetu[emoji3]
Hakuna deni hapo ni pesa walizoiba kitambo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu tunawaomba watusamehe madeni yetu[emoji3]
Kuna Matukio mabaya zaidi kushinda ya kuuawa na Polisi kwa Wafrika wasio na hatia huko Marekani!!!???U.S. Senate Foreign Relations.
Yesterday's arrests of @zittokabwe, Tanzanian opposition party leader of @ACTwazalendo, and several members of his party reflect a deeply disturbing trend of opposition party leaders and journalists in #Tanzania being arrested on contrived charges leading up to Oct. elections. :- Sen. Jim Risch, R. Idaho. Committee Chairman.
View attachment 1488178
========
Kwa utetezi wowote ule tutake tusitake vitendo hivi vinaleta picha mbaya kwa nchi yetu.
Jamaa (mabeberu) wanakusanya data taratibu hadi kufikia ujio wa Lissu hata wakiamua kutunyoa tayari watakuwa na cha kuiambia dunia.
Kwa hiyo kama Marekani wananyanyasa wananchi wao na wewe unabariki serikali ya Magufuli inyanyase wananchi wake?
Na wale waliomuua mwandishi wa habari kwa bomu jePolisi waliomuua Floyd wamefunguliwa mastaka ya kuua kwa kukusudia na wapo mahabusu hadi leo, huo ndio utawala wa sheria, jiulize polisi waliomuua Akwilina wako wapi leo kama sio kupandishwa vyeo.
Ila fedha za Lucifer mnazipokea kwa shangwe na mabango ya kusifia " Kwa hisani ya watu wa Marekani" mnayabandika kwa roho safi.No.... ila sihafiki Lucifer kumkemea
mshirikina
Na ninawashangaa zaidi mnaounga mkono kauli ya Lucifer kwamba ni mwema this time[emoji3]
Kwa hiyo umeona jinsi USA ilivyo na demikrasia?maandamano hayakubugudhiwa,yaliachwa,ujumbe ukafika,hatua zikachukuliwa dhidi ya yule Polisi.Unajua wangapi ambao wameuawa bila kesi?
Hii ni kwa ajili ya video kwenda viral tu....
Na hata kushtakiwa kwao kulitokana na shinikizo la maandamano...
Ama unajilazimisha upofu ama huelewi...
Wako kati ya wale wa4 wanatembea mitaani furiiiii[emoji3][emoji3]
Wajue wazungu....
Baada ya Floyd wangapi wameendelea kufa?
Waafrika zaidi ya wa4 wamenyongwa baada ya Floyd.
Mungu wabariki WazunguU.S. Senate Foreign Relations.
Yesterday's arrests of @zittokabwe, Tanzanian opposition party leader of @ACTwazalendo, and several members of his party reflect a deeply disturbing trend of opposition party leaders and journalists in #Tanzania being arrested on contrived charges leading up to Oct. elections. :- Sen. Jim Risch, R. Idaho. Committee Chairman.
View attachment 1488178
========
Kwa utetezi wowote ule tutake tusitake vitendo hivi vinaleta picha mbaya kwa nchi yetu.
Jamaa (mabeberu) wanakusanya data taratibu hadi kufikia ujio wa Lissu hata wakiamua kutunyoa tayari watakuwa na cha kuiambia dunia.
Kuliko hata Waliomuua Alfonce Mawazo hadharani,Waliotaka kumuua Lissu,Waliompoteza Ben Saanane,Azory Gwanda etcKabisa... inanuka kuliko waliomuua Floyd..
Imasikitisha sana
Kwa hiyo umeona jinsi USA ilivyo na demikrasia?maandamano hayakubugudhiwa,yaliachwa,ujumbe ukafika,hatua zikachukuliwa dhidi ya yule Polisi.
Vp baada ya Lissu kupigwa risasi Kuna mtu kakamatwa kwa kumpiga Lissu? Je watanzania wangetaka kuandamana kshinikiza wasiojulikana wakamatwe maandamano yangeruhusiwa ?
Lkini Marekani yaliruhusiwa.Upo?
Ila fedha za Lucifer mnazipokea kwa shangwe na mabango ya kusifia " Kwa hisani ya watu wa Marekani" mnayabandika kwa roho safi.
Nyerere aliwakataa makaburu na fedha zao, ninyi je?[emoji1787]
Kuliko hata Waliomuua Alfonce Mawazo hadharani,Waliotaka kumuua Lissu,Waliompoteza Ben Saanane,Azory Gwanda etc
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo umeona jinsi USA ilivyo na demikrasia?maandamano hayakubugudhiwa,yaliachwa,ujumbe ukafika,hatua zikachukuliwa dhidi ya yule Polisi.
Vp baada ya Lissu kupigwa risasi Kuna mtu kakamatwa kwa kumpiga Lissu? Je watanzania wangetaka kuandamana kshinikiza wasiojulikana wakamatwe maandamano yangeruhusiwa ?
Lkini Marekani yaliruhusiwa.Upo?
Kwa hiyo umeona jinsi USA ilivyo na demikrasia?maandamano hayakubugudhiwa,yaliachwa,ujumbe ukafika,hatua zikachukuliwa dhidi ya yule Polisi.
Vp baada ya Lissu kupigwa risasi Kuna mtu kakamatwa kwa kumpiga Lissu? Je watanzania wangetaka kuandamana kshinikiza wasiojulikana wakamatwe maandamano yangeruhusiwa ?
Lkini Marekani yaliruhusiwa.Upo?
Huwezi kuzuia uhalifu kwa 100% lkn serikali iliyo makini huonyesha inafuatilia na kufanya uchunguzi wa kina ili kupunguza.Kuna Matukio mabaya zaidi kushinda ya kuuawa na Polisi kwa Wafrika wasio na hatia huko Marekani!!!???
Hakuna haki muhimu zaidi ya binaadamu kuliko haki ya kuishi!.
Wapambane na hali zao na sisi watuache tuwadhibiti vibaraka wao, wanaokusudia kutuletea ushoga na tamaduni za hovyo za kimagharibi!
I think they should deal with their racial issues.U.S. Senate Foreign Relations.
Yesterday's arrests of @zittokabwe, Tanzanian opposition party leader of @ACTwazalendo, and several members of his party reflect a deeply disturbing trend of opposition party leaders and journalists in #Tanzania being arrested on contrived charges leading up to Oct. elections. :- Sen. Jim Risch, R. Idaho. Committee Chairman.
View attachment 1488178
========
Kwa utetezi wowote ule tutake tusitake vitendo hivi vinaleta picha mbaya kwa nchi yetu.
Jamaa (mabeberu) wanakusanya data taratibu hadi kufikia ujio wa Lissu hata wakiamua kutunyoa tayari watakuwa na cha kuiambia dunia.
Don't be angry they don't know where they stand. Sijui Membe mwanadiplomasia nguli, sijui Mbowe, sijui Lisu they are just in a limbo. Hawajitambui na uchaguzi utakuja then will see those Kamandas kama watarudi bungeni.Nilifikiri huko vyuoni Tanzania watu wanasoma mambo ya maana kuwaongezea maarifa ili waweze kumudu maisha yao kumbe imejaa mizoga tu ambayo bado inategemea makuwadi wa USA au UK wawasaidie? Huwezi ukakubali kutumiwa kama toilet paper.
Marekani ni serikali makini?Huwezi kuzuia uhalifu kwa 100% lkn serikali iliyo makini huonyesha inafuatilia na kufanya uchunguzi wa kina ili kupunguza.