Uchaguzi 2020 U.S. Senate: Disturbing 'trend' of opposition party leaders in Tanzania being arrested leading up to Oct. Elections

U.S. Senate Foreign Relations.

Yesterday's arrests of @zittokabwe, Tanzanian opposition party leader of @ACTwazalendo, and several members of his party reflect a deeply disturbing trend of opposition party leaders and journalists in #Tanzania being arrested on contrived charges leading up to Oct. elections. :- Sen. Jim Risch, R. Idaho. Committee Chairman.

View attachment 1488178
========

Kwa utetezi wowote ule tutake tusitake vitendo hivi vinaleta picha mbaya kwa nchi yetu.

Jamaa (mabeberu) wanakusanya data taratibu hadi kufikia ujio wa Lissu hata wakiamua kutunyoa tayari watakuwa na cha kuiambia dunia.
Kuna Matukio mabaya zaidi kushinda ya kuuawa na Polisi kwa Wafrika wasio na hatia huko Marekani!!!???

Hakuna haki muhimu zaidi ya binaadamu kuliko haki ya kuishi!.

Wapambane na hali zao na sisi watuache tuwadhibiti vibaraka wao, wanaokusudia kutuletea ushoga na tamaduni za hovyo za kimagharibi!
 
No.... ila sihafiki Lucifer kumkemea
mshirikina
Na ninawashangaa zaidi mnaounga mkono kauli ya Lucifer kwamba ni mwema this time[emoji3]
Kwa hiyo kama Marekani wananyanyasa wananchi wao na wewe unabariki serikali ya Magufuli inyanyase wananchi wake?
 
Polisi waliomuua Floyd wamefunguliwa mastaka ya kuua kwa kukusudia na wapo mahabusu hadi leo, huo ndio utawala wa sheria, jiulize polisi waliomuua Akwilina wako wapi leo kama sio kupandishwa vyeo.
Na wale waliomuua mwandishi wa habari kwa bomu je
 
No.... ila sihafiki Lucifer kumkemea
mshirikina
Na ninawashangaa zaidi mnaounga mkono kauli ya Lucifer kwamba ni mwema this time[emoji3]
Ila fedha za Lucifer mnazipokea kwa shangwe na mabango ya kusifia " Kwa hisani ya watu wa Marekani" mnayabandika kwa roho safi.

Nyerere aliwakataa makaburu na fedha zao, ninyi je?🤣
 
Unajua wangapi ambao wameuawa bila kesi?

Hii ni kwa ajili ya video kwenda viral tu....

Na hata kushtakiwa kwao kulitokana na shinikizo la maandamano...

Ama unajilazimisha upofu ama huelewi...

Wako kati ya wale wa4 wanatembea mitaani furiiiii[emoji3][emoji3]

Wajue wazungu....

Baada ya Floyd wangapi wameendelea kufa?

Waafrika zaidi ya wa4 wamenyongwa baada ya Floyd.
Kwa hiyo umeona jinsi USA ilivyo na demikrasia?maandamano hayakubugudhiwa,yaliachwa,ujumbe ukafika,hatua zikachukuliwa dhidi ya yule Polisi.
Vp baada ya Lissu kupigwa risasi Kuna mtu kakamatwa kwa kumpiga Lissu? Je watanzania wangetaka kuandamana kshinikiza wasiojulikana wakamatwe maandamano yangeruhusiwa ?
Lkini Marekani yaliruhusiwa.Upo?
 
U.S. Senate Foreign Relations.

Yesterday's arrests of @zittokabwe, Tanzanian opposition party leader of @ACTwazalendo, and several members of his party reflect a deeply disturbing trend of opposition party leaders and journalists in #Tanzania being arrested on contrived charges leading up to Oct. elections. :- Sen. Jim Risch, R. Idaho. Committee Chairman.

View attachment 1488178
========

Kwa utetezi wowote ule tutake tusitake vitendo hivi vinaleta picha mbaya kwa nchi yetu.

Jamaa (mabeberu) wanakusanya data taratibu hadi kufikia ujio wa Lissu hata wakiamua kutunyoa tayari watakuwa na cha kuiambia dunia.
Mungu wabariki Wazungu

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Maandamano yaliruhusiwa?????
Unajua wangapi walifungwa kwenye hayo maandamano?

Unapoongea usichojua [emoji3][emoji3]

Hayo maandamano na vurugu yaliongezwa nguvu na serikali....

Mtu wa kwanza kuvunja maduka alikuwa polisi mweupe aliyeficha sura...

Wengi wamefungwa kutokana na maandamano yakilenga kujaza wafungwa jela ili wenye majela wapate pesa zaidi.

Unataka more attachments ku prove kwamba hayakuwa huru?[emoji3][emoji3]

Kwa hiyo umeona jinsi USA ilivyo na demikrasia?maandamano hayakubugudhiwa,yaliachwa,ujumbe ukafika,hatua zikachukuliwa dhidi ya yule Polisi.
Vp baada ya Lissu kupigwa risasi Kuna mtu kakamatwa kwa kumpiga Lissu? Je watanzania wangetaka kuandamana kshinikiza wasiojulikana wakamatwe maandamano yangeruhusiwa ?
Lkini Marekani yaliruhusiwa.Upo?
 
Ume jump to misaada badala ya kauli za haki za binadamu..

Hiyo misaada ni Lucifer ana rejesha alichotuibia...

Na tuna wasifu kinafki tu

Tunapokea misaada kutokana na shida na hali yako wewe na ukoo wako wewe.

Ila fedha za Lucifer mnazipokea kwa shangwe na mabango ya kusifia " Kwa hisani ya watu wa Marekani" mnayabandika kwa roho safi.

Nyerere aliwakataa makaburu na fedha zao, ninyi je?[emoji1787]
 
Bro ukitoa ushahidi kuhusu hao waliofanya hivyo ntashiriki kuwapiga nawe hadi nao wafe.

Ila kama unaongelea umbeya jichunguze jinsia yako[emoji3][emoji3]
Kuliko hata Waliomuua Alfonce Mawazo hadharani,Waliotaka kumuua Lissu,Waliompoteza Ben Saanane,Azory Gwanda etc

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Issue ya Lissu bado anahitajika dereva aliyekuwa nae pamoja na yeye mwenyewe wakubali kuhojiwa na polisi.

Siasa za bongo maigizo mengi...

Ni kama tu chapombe alivyodai amepigwa[emoji3][emoji3]
Kwa hiyo umeona jinsi USA ilivyo na demikrasia?maandamano hayakubugudhiwa,yaliachwa,ujumbe ukafika,hatua zikachukuliwa dhidi ya yule Polisi.
Vp baada ya Lissu kupigwa risasi Kuna mtu kakamatwa kwa kumpiga Lissu? Je watanzania wangetaka kuandamana kshinikiza wasiojulikana wakamatwe maandamano yangeruhusiwa ?
Lkini Marekani yaliruhusiwa.Upo?
 
Over 10,000 arrests kwa maandamano unayoyaita huru.... Floyd (see attachment)

Kuna ujinga wa kuamini USA ni mbinguni..

Hao wameingizia serikali millions of dollars.

Wenye majela ni vigogo wa serikalj... wamefaidika sana .... ila wewe umeona kwenye TV ukaona vitu smooth n nice[emoji3][emoji3]

Kwa hiyo umeona jinsi USA ilivyo na demikrasia?maandamano hayakubugudhiwa,yaliachwa,ujumbe ukafika,hatua zikachukuliwa dhidi ya yule Polisi.
Vp baada ya Lissu kupigwa risasi Kuna mtu kakamatwa kwa kumpiga Lissu? Je watanzania wangetaka kuandamana kshinikiza wasiojulikana wakamatwe maandamano yangeruhusiwa ?
Lkini Marekani yaliruhusiwa.Upo?
Screenshot_20200625-134025_Google.jpeg
 
Kuna Matukio mabaya zaidi kushinda ya kuuawa na Polisi kwa Wafrika wasio na hatia huko Marekani!!!???

Hakuna haki muhimu zaidi ya binaadamu kuliko haki ya kuishi!.

Wapambane na hali zao na sisi watuache tuwadhibiti vibaraka wao, wanaokusudia kutuletea ushoga na tamaduni za hovyo za kimagharibi!
Huwezi kuzuia uhalifu kwa 100% lkn serikali iliyo makini huonyesha inafuatilia na kufanya uchunguzi wa kina ili kupunguza.
 
Nilifikiri huko vyuoni Tanzania watu wanasoma mambo ya maana kuwaongezea maarifa ili waweze kumudu maisha yao kumbe imejaa mizoga tu ambayo bado inategemea makuwadi wa USA au UK wawasaidie? Huwezi ukakubali kutumiwa kama toilet paper.
 
U.S. Senate Foreign Relations.

Yesterday's arrests of @zittokabwe, Tanzanian opposition party leader of @ACTwazalendo, and several members of his party reflect a deeply disturbing trend of opposition party leaders and journalists in #Tanzania being arrested on contrived charges leading up to Oct. elections. :- Sen. Jim Risch, R. Idaho. Committee Chairman.

View attachment 1488178
========

Kwa utetezi wowote ule tutake tusitake vitendo hivi vinaleta picha mbaya kwa nchi yetu.

Jamaa (mabeberu) wanakusanya data taratibu hadi kufikia ujio wa Lissu hata wakiamua kutunyoa tayari watakuwa na cha kuiambia dunia.
I think they should deal with their racial issues.
Who are they to dictate other countries, their days of scare mongering are gone br.

Na nyie Chadema mnafikiri mnapendwa na wazungu look what they are doing to our fellow Africans.
 
Nilifikiri huko vyuoni Tanzania watu wanasoma mambo ya maana kuwaongezea maarifa ili waweze kumudu maisha yao kumbe imejaa mizoga tu ambayo bado inategemea makuwadi wa USA au UK wawasaidie? Huwezi ukakubali kutumiwa kama toilet paper.
Don't be angry they don't know where they stand. Sijui Membe mwanadiplomasia nguli, sijui Mbowe, sijui Lisu they are just in a limbo. Hawajitambui na uchaguzi utakuja then will see those Kamandas kama watarudi bungeni.
 
Huwezi kuzuia uhalifu kwa 100% lkn serikali iliyo makini huonyesha inafuatilia na kufanya uchunguzi wa kina ili kupunguza.
Marekani ni serikali makini?
Look how many black kids hawana baba zao sababu ya ubaguzi. Yaani they have no moral authority kumwonyesha mtu kidole.
 
Huyu sen. Jim pumbavu sana. Hakuna aliye juu ya sheria. kama wametenda makosa lazima washughulikiwe. Eti deeply disturbing trend. Disturbance iko kwao, kuna wanachotafuta. Mabeberu wakubwa.
 
Back
Top Bottom