NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Ndio hasara ya kukabidhi jiwe ikulu!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile kauli ya Jana ya sirro dhidi ya lisu nayo pia imechangiaBahati mbaya matendo ya kijinga yanafanywa na wachache lakini athari zake zitawaumiza wengi wasiohusika.
Hapa ndipo kiburi chao kinapoanzia.
Ndio shida yenu huko ccm ya kuiingiza nchi shimoni? Uandishi wako unadhihirisha na kubainisha agenda zenu za kuiingiza nchi shimoni. Na ni sahihi kusema kuwa ninyi wapambe wa magu mnampotosha kuiangamiza amani huku mkijifanya kumsifu na kumpamba!Mnajuaga kujazana upepo[emoji16][emoji16][emoji16]
Kwani yule mama wa ubarozi wa marekani si ameondoka!!!!kwa matamkoz yake nilidhani siku anaondoka hapa nchi inaingia shimoni.
Well noted, then we must all stand for what is right! Time will tell
Amani gani inatoweka wewe mchawi??mmekua mnaiombe mabaya nchi mpaka kutaka inyimwe ufadhiri ili ku suite ajenda zenu.Ndio shida yenu huko ccm ya kuiingiza nchi shimoni? Uandishi wako unadhihirisha na kubainisha agenda zenu za kuiingiza nchi shimoni. Na ni sahihi kusema kuwa ninyi wapambe wa magu mnampotosha kuiangamiza amani huku mkijifanya kumsifu na kumpamba!
ACT and CDM watoke actively, wakutane na mabeberu waombe kuishinikiza Jiwe kwa vitebdo na si maneno. Waende USA/ Europe waseme wanataka niniNi kweli wanachukua muda ila wanamvutia kasi hivyo ni swala la muda tu.
Polisi waliomuua Floyd wamefunguliwa mastaka ya kuua kwa kukusudia na wapo mahabusu hadi leo, huo ndio utawala wa sheria, jiulize polisi waliomuua Akwilina wako wapi leo kama sio kupandishwa vyeo.
Makonda anapambana na Marekani, duh kupenda kidonda.Hana muda huo kabisa.
Inakera sana kupuuzwa na uliyezidi kila kitu,ubarozi ndicho kilichowakuta.
Soma taratibu mzee.Makonda anaizidi Marekani, duh kupenda kidonda.
Asante sana kwa taarifa hii, ni kweli kabisa wazungu hufanya mambo yao kimkakati na wanakusanya data sana kabla ya kufanya kitu. Nina uhakika jiwe atapata shida sana kabla ya uchaguzi October au kabla ya 2025 kama akishinda.U.S. Senate Foreign Relations.
Yesterday's arrests of @zittokabwe, Tanzanian opposition party leader of @ACTwazalendo, and several members of his party reflect a deeply disturbing trend of opposition party leaders and journalists in #Tanzania being arrested on contrived charges leading up to Oct. elections. :- Sen. Jim Risch, R. Idaho. Committee Chairman.
View attachment 1488178
========
Kwa utetezi wowote ule tutake tusitake vitendo hivi vinaleta picha mbaya kwa nchi yetu.
Jamaa (mabeberu) wanakusanya data taratibu hadi kufikia ujio wa Lissu hata wakiamua kutunyoa tayari watakuwa na cha kuiambia dunia.
Huyo bwana atakuwa kutoka chattle ndivyo walivyo.Makonda anaizidi Marekani, duh kupenda kidonda.
Ee bwana kweli kabisa, jiwe amelewa madaraka na amezungukwa na washauri kutoka kijijini kwake ambao wanamshauri vibaya sana. Wanafanya mambo kama vile ni wafalme wa zamani bila kuangalia siku zijazo mambo yatakuwaje. Ndio maana Odinga alisema jiwe anashauriwa vibaya.Kila nikimwangalia jiwe naishia kumuona akimalizia maisha gerezani na hawa wapambe mbuzi wake wakiendelea na maisha yao kwa kubadili mwelekeo kama sio wao vile.
Tumeyataka wenyewe kwa kuchagua mtu kama jiwe na kuna mbumbumbu nchi hii watamchagua tena kipindi cha pili, kweli ipo kazi.tunaelekea kwenye lockout.
SGR na Stiegler's Gorge tutamaliziaje siye yarabi toba!
Na Zitto yupo ndani!Juhudi ndiyo hizi zineanza
1,Lissu kugombea urais, kubwa zaidi kurudi nchini, wamkamate kama alivyosema polisi yule, WAONE KITAKACHOTOKE.
2.Membe kugombea kupitia chama chochote, wamguse ANUKE,
Anaushawishi wa kimataifa, hata ivo ccm hawajui kuwa yawezekana mpango wa membe unaasisiwa kimataifa.
MUDA NI HAKIMU
Kwa hiyo kama Marekani wananyanyasa wananchi wao na wewe unabariki serikali ya Magufuli inyanyase wananchi wake?Kuua weusi ni sera ya serikali ya marekani..
Unajua miji miwili iliyopigwa mabomu yenyw biashara za weusi?
Ijuwe marekani bro... sio ya cnn na fox
Lakini lazima kuwe na deliberate move ya kuwahimiza kutenda kuliko kusema. Watu waende hata huko USA wakutane nao wazungumze namna ya kushinikiza watu watende haki. Maneno matupu Jiwe hatayasikia.
Akili za kushikiwa hizi khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeACT and CDM watoke actively, wakutane na mabeberu waombe kuishinikiza Jiwe kwa vitebdo na si maneno. Waende USA/ Europe waseme wanataka nini