Uchaguzi 2020 U.S. Senate: Disturbing 'trend' of opposition party leaders in Tanzania being arrested leading up to Oct. Elections

Uchaguzi 2020 U.S. Senate: Disturbing 'trend' of opposition party leaders in Tanzania being arrested leading up to Oct. Elections

Mnajuaga kujazana upepo[emoji16][emoji16][emoji16]

Kwani yule mama wa ubarozi wa marekani si ameondoka!!!!kwa matamkoz yake nilidhani siku anaondoka hapa nchi inaingia shimoni.
Ndio shida yenu huko ccm ya kuiingiza nchi shimoni? Uandishi wako unadhihirisha na kubainisha agenda zenu za kuiingiza nchi shimoni. Na ni sahihi kusema kuwa ninyi wapambe wa magu mnampotosha kuiangamiza amani huku mkijifanya kumsifu na kumpamba!
 
Ndio shida yenu huko ccm ya kuiingiza nchi shimoni? Uandishi wako unadhihirisha na kubainisha agenda zenu za kuiingiza nchi shimoni. Na ni sahihi kusema kuwa ninyi wapambe wa magu mnampotosha kuiangamiza amani huku mkijifanya kumsifu na kumpamba!
Amani gani inatoweka wewe mchawi??mmekua mnaiombe mabaya nchi mpaka kutaka inyimwe ufadhiri ili ku suite ajenda zenu.
 
Polisi waliomuua Floyd wamefunguliwa mastaka ya kuua kwa kukusudia na wapo mahabusu hadi leo, huo ndio utawala wa sheria, jiulize polisi waliomuua Akwilina wako wapi leo kama sio kupandishwa vyeo.

You don’t know what you are talking of, in fact you don’t know the reality else you would not have uttered/jotted any comments regarding this issue! Hawa wapinzani walivuruga uchaguzi wa 2015, ilikuwa ni wao wachukuwe madaraka ya nchi lakini kwa sababu ya ‘egoism’ walisambaratisha ushindi kwani huyu huyu alikacha kushirikiana na “UKAWA” na mwenzake ‘Prof’ alikimbilia nchi ya kigeni kula starehe, wakimkapenia mteule wa chama tawala na bahati nzuri Rais Dr Magufuli aliokota embe dodo chini ya mti wa Mwaarubaini I mean a blessing in disguise kwa taifa la Tanzania kupata kiongozi mzalendo, mwenye mwelekeo wa Baba wa Taifa Mwl Nyerere. Kwa hiyo Rais Magufuli ni Nyerere II, ila cha ajabu walewale walioshrikiana naye wakati walikua upinzani wanadiriki kumkejeli. What we learnt from this political misdemeanor, opposition political parties will never be able to clinch the Presidency possibly till 2090! They missed their golden chance in 2015 when CCM was in an intensive care unit(ICU). The ruling party has been revived, it’s no longer the CCM of 2015!!Period.
 
U.S. Senate Foreign Relations.

Yesterday's arrests of @zittokabwe, Tanzanian opposition party leader of @ACTwazalendo, and several members of his party reflect a deeply disturbing trend of opposition party leaders and journalists in #Tanzania being arrested on contrived charges leading up to Oct. elections. :- Sen. Jim Risch, R. Idaho. Committee Chairman.

View attachment 1488178
========

Kwa utetezi wowote ule tutake tusitake vitendo hivi vinaleta picha mbaya kwa nchi yetu.

Jamaa (mabeberu) wanakusanya data taratibu hadi kufikia ujio wa Lissu hata wakiamua kutunyoa tayari watakuwa na cha kuiambia dunia.
Asante sana kwa taarifa hii, ni kweli kabisa wazungu hufanya mambo yao kimkakati na wanakusanya data sana kabla ya kufanya kitu. Nina uhakika jiwe atapata shida sana kabla ya uchaguzi October au kabla ya 2025 kama akishinda.
 
Kila nikimwangalia jiwe naishia kumuona akimalizia maisha gerezani na hawa wapambe mbuzi wake wakiendelea na maisha yao kwa kubadili mwelekeo kama sio wao vile.
Ee bwana kweli kabisa, jiwe amelewa madaraka na amezungukwa na washauri kutoka kijijini kwake ambao wanamshauri vibaya sana. Wanafanya mambo kama vile ni wafalme wa zamani bila kuangalia siku zijazo mambo yatakuwaje. Ndio maana Odinga alisema jiwe anashauriwa vibaya.
 
tunaelekea kwenye lockout.

SGR na Stiegler's Gorge tutamaliziaje siye yarabi toba!
Tumeyataka wenyewe kwa kuchagua mtu kama jiwe na kuna mbumbumbu nchi hii watamchagua tena kipindi cha pili, kweli ipo kazi.
 
Juhudi ndiyo hizi zineanza

1,Lissu kugombea urais, kubwa zaidi kurudi nchini, wamkamate kama alivyosema polisi yule, WAONE KITAKACHOTOKE.

2.Membe kugombea kupitia chama chochote, wamguse ANUKE,
Anaushawishi wa kimataifa, hata ivo ccm hawajui kuwa yawezekana mpango wa membe unaasisiwa kimataifa.
MUDA NI HAKIMU
Na Zitto yupo ndani!
 
Kuua weusi ni sera ya serikali ya marekani..
Unajua miji miwili iliyopigwa mabomu yenyw biashara za weusi?

Ijuwe marekani bro... sio ya cnn na fox
Kwa hiyo kama Marekani wananyanyasa wananchi wao na wewe unabariki serikali ya Magufuli inyanyase wananchi wake?
 
Lakini lazima kuwe na deliberate move ya kuwahimiza kutenda kuliko kusema. Watu waende hata huko USA wakutane nao wazungumze namna ya kushinikiza watu watende haki. Maneno matupu Jiwe hatayasikia.

Zito alikwenda na wewe fuata nyayo unasemaje? Tanzania ni nchi huru hakuna kimburu yoyote anayeweza kutufanya lolote.
 
ACT and CDM watoke actively, wakutane na mabeberu waombe kuishinikiza Jiwe kwa vitebdo na si maneno. Waende USA/ Europe waseme wanataka nini
Akili za kushikiwa hizi khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom