U.S. steps up intel, surveillance after Putin’s nuke threats

Trainers washakufa
 
Ukubwa wa eneo au ukubwa wann kwasababu Russia na nchi nyingine za kikomunist serikali ndo inakuaga kubwa putin na serikali yake washaoneshwa kushindwa

Twambie ukubwa upi unausema
 
Kwahiyo CIA haijui kama kuna nuclear kwenye submarines za Russia?
 
"
The US warned several European allies over the summer, including Germany, that the Nord Stream 1 and 2 pipelines could face threats and even be attacked, according to two people familiar with the intelligence and the warnings.

The warnings were based on US intelligence assessments, but they were vague, the people said – it was not clear from the warnings who might be responsible for any attacks on the pipelines or when they might occur.

The CIA declined to comment.

Der Spiegel was the first to report on the intelligence warnings."
 
Kwa Russia wanaishi mbinguni? Unafikiri Intel community ya Us inapataje taarifa za russia positions hapo ukraine? Movements, suply,field strategy?
They have people on the ground.

Tofauti ni kuwa how far can they go.
Si russia pekee mwenye hayo makombora. Hata wao wanayo.

Kama US, EU wangekuwa empty russia angesha watandika sikunyingi
 
Nakubaliana na wewe, hakuna seniour officer atakayekubali Russia kutumia nuclear, kutumia nuclear ukiwa hujui wenzio watakujibu vipi ni risk kubwa saaana na moja kwa moja ni kuangusha utawala.
 
Kuna rivert joint, sentinel, awacs zote hizi zipo angani kuona movement, kuna maxar technologies, hawa ndo walituonesha vifaru km64 kuelekea kyiv

Urusi yuko blind ndo maana himars zinaenda, vifaa vyapokelewa na ukraine bila upingamizi, sababu kibwa ni kuwa hana intel...
 
Wewe ndiyo una masihara sasa,kwamba wewe una ufahamu mkubwa wa zilipo hizo Silaha lakini CIA wasijue? [emoji3][emoji3].Kwani kuwa under surveilance kulingana na mtoa mada umeelewaje? Lakini pia ukubwa wa Russia hauna maana kama tu mpaka sasa anatolewa jasho na underdog Ukraine.Unaweza kuwa mkubwa kama pilipili hoho na usiwe na makali kama ya pilipili mbuzi.
 
Hata wakigundua wataishia kubweka tu Majimbo yameshaondoka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
 
Marekani it's no joke, na Putin anafahamu hilo.
Mmekutana wauza karanga wa Tegeta Kwa ndevu mnadanganyana tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hiyo ya zamani kabla training facility haijashambuliwa
Updates.

"On Sep.29, the Ukrainian Air Forces downed 5 out of 7 Shahed-36 drones launched by Russia." Kyiv post
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…