U.S. steps up intel, surveillance after Putin’s nuke threats

U.S. steps up intel, surveillance after Putin’s nuke threats

Nyingi zinadondoshwa sana Ukraine, ingawa bado ni challenge.

Common feature ya Iranian drones ni kwamba zikiwa angani zinapiga kelele kama mashine za kusaga au kukoboa, hvyo wananchi wa kawaida hawaitaji hata vifaa kuzigundua tofauti na drones nyingine.
Trainers washakufa
 
Nyie mnamasihara yani nchi kubwa kama Russia iwe under surveilance ya US[emoji23][emoji23][emoji23] vituko ivi wao wenyewe wanajua endapo Russia akiamua kutumia Nukes basi siyo US wala UE wenye uwezo wa kuzuia ilo bomu na mabomu ya nukes mengi yapo kwenye submarine
Ukubwa wa eneo au ukubwa wann kwasababu Russia na nchi nyingine za kikomunist serikali ndo inakuaga kubwa putin na serikali yake washaoneshwa kushindwa

Twambie ukubwa upi unausema
 
Nyie mnamasihara yani nchi kubwa kama Russia iwe under surveilance ya US[emoji23][emoji23][emoji23] vituko ivi wao wenyewe wanajua endapo Russia akiamua kutumia Nukes basi siyo US wala UE wenye uwezo wa kuzuia ilo bomu na mabomu ya nukes mengi yapo kwenye submarine
Kwahiyo CIA haijui kama kuna nuclear kwenye submarines za Russia?
 
"
The US warned several European allies over the summer, including Germany, that the Nord Stream 1 and 2 pipelines could face threats and even be attacked, according to two people familiar with the intelligence and the warnings.

The warnings were based on US intelligence assessments, but they were vague, the people said – it was not clear from the warnings who might be responsible for any attacks on the pipelines or when they might occur.

The CIA declined to comment.

Der Spiegel was the first to report on the intelligence warnings."
 
Nyie mnamasihara yani nchi kubwa kama Russia iwe under surveilance ya US[emoji23][emoji23][emoji23] vituko ivi wao wenyewe wanajua endapo Russia akiamua kutumia Nukes basi siyo US wala UE wenye uwezo wa kuzuia ilo bomu na mabomu ya nukes mengi yapo kwenye submarine
Kwa Russia wanaishi mbinguni? Unafikiri Intel community ya Us inapataje taarifa za russia positions hapo ukraine? Movements, suply,field strategy?
They have people on the ground.

Tofauti ni kuwa how far can they go.
Si russia pekee mwenye hayo makombora. Hata wao wanayo.

Kama US, EU wangekuwa empty russia angesha watandika sikunyingi
 
Dikteta Putin anabipu tu watu hawezi akatumia nyuklia kwani anafahamu kabisa madhara yake kwamba akijaribu tu kuitumia ndio utakuwa mwisho wa urais wake.

Hata wakubwa kwenye jeshi la Russia hawawezi kukubali kutekeleza amri ya kijinga kama hiyo kwani hata wao wenyewe wanajeshi wa Russia hawawezi kuwa salama wakiitumia.

Dikteta Putin ajiandae tu kuondoka Ukraine maanake hamna namna anaweza kushinda vita, kamwe Marekani na Nato hawawezi kukubali Russia ishinde vita hata iweje.
Nakubaliana na wewe, hakuna seniour officer atakayekubali Russia kutumia nuclear, kutumia nuclear ukiwa hujui wenzio watakujibu vipi ni risk kubwa saaana na moja kwa moja ni kuangusha utawala.
 
Kwa Russia wanaishi mbinguni? Unafikiri Intel community ya Us inapataje taarifa za russia positions hapo ukraine? Movements, suply,field strategy?
They have people on the ground.

Tofauti ni kuwa how far can they go.
Si russia pekee mwenye hayo makombora. Hata wao wanayo.

Kama US, EU wangekuwa empty russia angesha watandika sikunyingi
Kuna rivert joint, sentinel, awacs zote hizi zipo angani kuona movement, kuna maxar technologies, hawa ndo walituonesha vifaru km64 kuelekea kyiv

Urusi yuko blind ndo maana himars zinaenda, vifaa vyapokelewa na ukraine bila upingamizi, sababu kibwa ni kuwa hana intel...
 
Nyie mnamasihara yani nchi kubwa kama Russia iwe under surveilance ya US[emoji23][emoji23][emoji23] vituko ivi wao wenyewe wanajua endapo Russia akiamua kutumia Nukes basi siyo US wala UE wenye uwezo wa kuzuia ilo bomu na mabomu ya nukes mengi yapo kwenye submarine
Wewe ndiyo una masihara sasa,kwamba wewe una ufahamu mkubwa wa zilipo hizo Silaha lakini CIA wasijue? [emoji3][emoji3].Kwani kuwa under surveilance kulingana na mtoa mada umeelewaje? Lakini pia ukubwa wa Russia hauna maana kama tu mpaka sasa anatolewa jasho na underdog Ukraine.Unaweza kuwa mkubwa kama pilipili hoho na usiwe na makali kama ya pilipili mbuzi.
 
U.S. and allied intelligence agencies are stepping up efforts to detect any Russian military moves or communications that might signal that Vladimir Putin has ordered the use of nuclear weapons in Ukraine, according to five current and former U.S. officials.

“We’re watching it more closely,”

Recent efforts include tasking additional U.S. and allied intelligence assets — in the air, space and cyberspace — and relying more heavily on commercial Earth-imaging satellites to analyze Russian units in the field that might be in position to get the nuclear order, the official said.

Kwendana na taarifa za kuaminika kutoka vyanzo mbalimbali ndani ya serikali ya Marekani, Marekani imeongeza nguvu katika kukusanya taarifa za kijasusi ili kuweza kugundua nyendo za majeshi ya Urusi kuhusiana na uwezekano wa matumizi ya mabomu ya kinyuklia nchini Ukraine, hii ni pamoja na uwezekano wa utolewaji wa amri hiyo kutoka kwa Putin mwenyewe.

Kwendana na Mashuhuda mbalimbali, marekani imekuwa ikirusha ndege za kiuchunguzi RC-135 Joint Rivet pembezoni mwa nchi washirika 24/7, ili kugundua matumizi yoyote yale ya mabomu ya kinyuklia kwa siri nchini Ukraine.

View attachment 2371445

Lengo kuu ni kuiwezesha serikali ya marekani pamoja na washirika wake kujibu mapigo kwa wakati kutokana na matumizi hayo.
Hata wakigundua wataishia kubweka tu Majimbo yameshaondoka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
 
Marekani it's no joke, na Putin anafahamu hilo.
Mmekutana wauza karanga wa Tegeta Kwa ndevu mnadanganyana tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hiyo ya zamani kabla training facility haijashambuliwa
Updates.

"On Sep.29, the Ukrainian Air Forces downed 5 out of 7 Shahed-36 drones launched by Russia." Kyiv post
 
Back
Top Bottom