U singel father umenishinda

U singel father umenishinda

mafoleni

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2016
Posts
220
Reaction score
371
Mke anahitajika popote alipo.

Nina umri wa miaka 28, nina mtoto mmoja, mama yake hajafa yupo hai ila ni dini tu ndo imetufanya tusiwe pamoja. Mimi ni mfanyabiashara, kuhusu elimu nina degree ya uhasibu lakini si muajiriwa.

Sifa za mke:
1.Asiwe na wivu wa kupitiliza kwa sababu mama wa mtoto yupo na tunashirikiana kwa mengi, but no sex! dini ndo tatizo. Mimi ni Mkristo na yeye Islamic.
2,Ampenda mwanangu Grace kama mtoto wake wa kumzaa.
3.Awe mkristo na awe na hofu ya Mungu moyoni.
4.Awe tayari kupima before sex.
5.Umri kuanzia 20__25 mwisho.
6.Kuhusu kazi awe na kazi au hana haijalishi, cha msingi asiwe mvivu kama ili hata nikimfungulia biashara aweze kumudu.
7. La mwisho awe na penzi la dhati.

Alietayari anichek kwa namba hii 0716 643697 nimeamua kuweka namba kwa sababu huwa nipo busy sana nitashindwa kujibu sms huko PM ukiona sipokei kwa muda mrefu nichek whatsApp.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingekua Poa sana kama na huyo mama wa mtoto kaolewa. Bado mna chance Kubwa sana ya kuendelea Kufanya sex pamoja [emoji108]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mke anahitajika popote alipo.

Nina umri wa miaka 28, nina mtoto mmoja, mama yake hajafa yupo hai ila ni dini tu ndo imetufanya tusiwe pamoja. Mimi ni mfanyabiashara, kuhusu elimu nina degree ya uhasibu lakini si muajiriwa.

Sifa za mke:
1.Asiwe na wivu wa kupitiliza kwa sababu mama wa mtoto yupo na tunashirikiana kwa mengi, but no sex! dini ndo tatizo. Mimi ni Mkristo na yeye Islamic.
2,Ampenda mwanangu Grace kama mtoto wake wa kumzaa.
3.Awe mkristo na awe na hofu ya Mungu moyoni.
4.Awe tayari kupima before sex.
5.Umri kuanzia 20__25 mwisho.
6.Kuhusu kazi awe na kazi au hana haijalishi, cha msingi asiwe mvivu kama ili hata nikimfungulia biashara aweze kumudu.
7. La mwisho awe na penzi la dhati.

Alietayari anichek kwa namba hii 0716 643697 nimeamua kuweka namba kwa sababu huwa nipo busy sana nitashindwa kujibu sms huko PM ukiona sipokei kwa muda mrefu nichek whatsApp.

Sent using Jamii Forums mobile app

sawa oeni me nawangalia maana hii week ndoa tu jf
 
Kata mzizi wa mama Grace kwanza nikupigie

Sent using Jamii Forums mobile app

hahahaha watu na wivu wenu! lakin haina uzito si kakuweka ndan ww sasa utaumia nn! mie nisingeumia... labda km ingepitiliza sana ! ila nyie hamkupendana aic!... yaan dini iwatenganishe? duh bas wengne tunapenda kimwendokasi! mie ht muislam angenioa tu coz sili pork bas ingekuwa poa tu...kha! eti DINI?
 
mimi hata msabato, nikipenda nimependa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom