Jamani poleni!
Huyu kocha wetu wa u17ya Tanzania hivi mpaka tunampa timu tulizingatia ni nini au kujua kuongea kiingereza au mpira hauhitaji 'experience" maana sijui aliwahi kufundisha klabu gani ,mtu asije na bla bla za Gabon eti alikuwa kocha msaidizi.
Sasa kwa mujibu wa baadhi ya wachezaji walio kuwa na 'constency' nzuri aliwaua kiviwango akabeba watoto wapya. Sasa zipo tetesi zinaenea japo hazina uhakika.
-kuwa udalali wa wachezaji,
-Umaeneo
-Kutoshaurika
-uwezo mdogo wa kocha kimbinu na kiuzoefu.
-Alikuwa anatembelea nyota ya Kim Paulsen.
Yote hayo ,ilmradi kila mtu analake.
Mimi nashauri awekwe lock up, tu aulizwe kijeshi kwanini ashtakiwe.
Maana watoto wazuri aliowafubaza kukua kisoka ni pamoja na;
Edson mshilakandi
Agiri ngoda
Mstafa Nankuku
Shaban kimwaga n.k.
Namtabiria Amonike hayahaya ,kama ataendelea kutokuwa na first eleven.
Poa tu! Always next time. Yaani hata kudroo ilishindikana.