U17-Tanzania:Kocha wetu sijui tulimwamini vipi

DREAMBOY

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
2,117
Reaction score
1,369
Jamani poleni!
Huyu kocha wetu wa u17ya Tanzania hivi mpaka tunampa timu tulizingatia ni nini au kujua kuongea kiingereza au mpira hauhitaji 'experience" maana sijui aliwahi kufundisha klabu gani ,mtu asije na bla bla za Gabon eti alikuwa kocha msaidizi.
Sasa kwa mujibu wa baadhi ya wachezaji walio kuwa na 'constency' nzuri aliwaua kiviwango akabeba watoto wapya. Sasa zipo tetesi zinaenea japo hazina uhakika.
-kuwa udalali wa wachezaji,
-Umaeneo
-Kutoshaurika
-uwezo mdogo wa kocha kimbinu na kiuzoefu.
-Alikuwa anatembelea nyota ya Kim Paulsen.
Yote hayo ,ilmradi kila mtu analake.
Mimi nashauri awekwe lock up, tu aulizwe kijeshi kwanini ashtakiwe.
Maana watoto wazuri aliowafubaza kukua kisoka ni pamoja na;
Edson mshilakandi
Agiri ngoda
Mstafa Nankuku
Shaban kimwaga n.k.

Namtabiria Amonike hayahaya ,kama ataendelea kutokuwa na first eleven.

Poa tu! Always next time. Yaani hata kudroo ilishindikana.
 
Mbona unaongea upande mmoja!!!?? real madrid kaondoka ronaldo timu inaweweseka na wanafikiri suluhisho ni kumrudisha zidane, KUMBE KILIKUWA NI KIPAJI BINAFSI CHA MTU KILIKUWA KINAMPA UJIKO KUWA ANAJUA KUFUNDISHA. KIFUPI HATUNA VIPAJI VYA MPIRA TUNALAZIMISHAAAA!!!
 
Kama ndivyo basi makocha ndo hatuna kabisa. Anyway kwani Madrid ni ya ngapi kwenye ligi.
 
unaahidi watoto wadogo magari na furushi la hela sasa wamechanganyikiwa wakawa wanawaza magari na hela zaidi mpaka wakashindwa kucheza
Kwa hyo kocha hakuwa na kazi
 
unaahidi watoto wadogo magari na furushi la hela sasa wamechanganyikiwa wakawa wanawaza magari na hela zaidi mpaka wakashindwa kucheza
Tena wasingeahidiwa wangepigwa kipigo cha mbwa koko, in short uwezo wetu wa wachezaji ni mdogo mno ni vyema tukawekeza kwenye michezo mingine mfano mchezo wa bao,draft michezo isiyohitaji maumbile yawezekana ikatutoa
 
t

Tuwekeze katika big brother ilitutoa kishenzi
 
mpira sio kma siasa qamba unaweza kuchangia tu ona ss umeongea pumba tupu..
unasem unatak kocha mzoefu ivi ushangalia cv ya oska mirambo?? km bado nakushauli tafuta..
unaweza vip mlaumu kocha direct, what if kocha anawapa maelekezo wachezaji na wachezaji hawayafuati af ww untaka mlaum kocha moj qa moj
uyu ndie kocha alikua anachukua vile vikombe botswana na rwanda leo unataka kumlaumu..
nyie ndo mnaoharibu mpira bongo
 
Namuunga mkono mtoa mada. Kama na wewe ni mmoja wa viongozi wa tff mkubali tu majungu huwa hayajengi! Timu ya vijana Serengeti boys kuanzia ile ya Gabon ya akina Kabwili na hata hii ya sasa ya akina Kelvin John, ilijengwa na Kim Poulsen akishirikiana na Bakary Shime na huyo Oscar Mirambo kwa mbali! Sasa mtuambie ni kwa nini mlimuondoa yule kocha kimya kimya? Au ni kwa sababu alikuwepo tangu enzi za Malinzi na hivyo hamkutaka masalia ya Malinzi yabakie pale tff?

Kiukweli mmechemka maana timu ilikuwa na madhaifu mengi hasa upande wa goalkeeping na safu ya ulinzi na kocha alionesha kabisa kuishiwa mbinu! Halafu pia ukumbuke kuwa na vyeti vilivyotukuka, siyo sababu pekee ya kumfanya mtu kuwa kocha bora! Ni ukweli uliowazi wengi hatuifahamu hiyo cv ya Oscar Mirambo! Ungetuwekea hapa basi ungetusaidaia sana.
 
wa tz kwa ujuaji tuko vzr,kocha kosa lake li wap? katoa maelekezo madogo wamezingua. kwa ahadi za mzee mengi ilikuwa ni motisha tosha kwa madogo kukaza ila kutojielewa uwezo mdg vimechangia kufeli.

kocha katimiza majukumu yake vzr sana madogo wame zingua (kwa kutojielewa, uwezo mdg,kuvimba kwa sifa, kukosa usiriasi na kutoelewa nini wanataka) angalia madogo wa timu nyingine unaona kabisa moyo wa kupigana wanao sisi tuna mbwelambwela

hii imekuwa tabia yetu watanzania sekta zote, angalia tff inaacha mtu hadi ana viporo 10 ila haioni hatari ya kupanga matokeo anaona kawaida na wadau wa soka nao wanaona sawa tu mbona hata nyuma ilikuwa ivo.
 
mpira sio kma siasa qamba unaweza kuchangia tu ona ss umeongea pumba tupu..
unasem unatak kocha mzoefu ivi ushangalia cv ya oska mirambo?? km bado nakushauli tafuta..
unaweza vip mlaumu kocha direct, what if kocha anawapa maelekezo wachezaji na wachezaji hawayafuati af ww untaka mlaum kocha moj qa moj
uyu ndie kocha alikua anachukua vile vikombe botswana na rwanda leo unataka kumlaumu..
nyie ndo mnaoharibu mpira bongo
We ni fala kabisa. We ndo umeandika nn? Eti vikombe Rwanda na sjui, pumbavu kabisa.
 
wa tz kwa ujuaji tuko vzr,kocha kosa lake li wap? katoa maelekezo madogo wamezingua. kwa ahadi za mzee mengi ilikuwa ni motisha tosha kwa madogo kukaza ila kutojielewa uwezo mdg vimechangia kufeli.

kocha katimiza majukumu yake vzr sana madogo wame zingua (kwa kutojielewa, uwezo mdg,kuvimba kwa sifa, kukosa usiriasi na kutoelewa nini wanataka) angalia madogo wa timu nyingine unaona kabisa moyo wa kupigana wanao sisi tuna mbwelambwela

hii imekuwa tabia yetu watanzania sekta zote, angalia tff inaacha mtu hadi ana viporo 10 ila haioni hatari ya kupanga matokeo anaona kawaida na wadau wa soka nao wanaona sawa tu mbona hata nyuma ilikuwa ivo.
Kwa hyo bora wasinge ahidiwa?
 
Back
Top Bottom