U17-Tanzania:Kocha wetu sijui tulimwamini vipi

wachezaji tunao ila timu zetu wanachagua wachezaj kwa kujuana mpaka makocha wanapeana peana tu kwa maslahi yao,,na hayo ndio matokeo yake,,kwa upumbavu huu wala sijutii kushabikia soka la ulaya
 
Awekwe lock up kwa sheria gani,hiyo ni ajira usipo perfom unaondolewa,tuache kuwa na ubabe wa kijinga
 
wachezaji tunao ila timu zetu wanachagua wachezaj kwa kujuana mpaka makocha wanapeana peana tu kwa maslahi yao,,na hayo ndio matokeo yake,,kwa upumbavu huu wala sijutii kushabikia soka la ulaya
Huko kujuana ndo udalali, ndo maana hushauri kocha awe mzungu
 
Awekwe lock up kwa sheria gani,hiyo ni ajira usipo perfom unaondolewa,tuache kuwa na ubabe wa kijinga
Ni uchungu tu! Hatuwezi kumfunga ila kama alikuwa hawez angesema.
 
unaahidi watoto wadogo magari na furushi la hela sasa wamechanganyikiwa wakawa wanawaza magari na hela zaidi mpaka wakashindwa kucheza
Dah! Watoto walikuwa waoge pesa aiseee
 
Kocha tatizo.. Uteuzi wa wachezaji ulikuwa duni Sana. . Mtaani Kuna. Madogo mafundi wazazi wao hawana uwezo wa kuwalipia Academy uchwara. . 2021 sio mbali wapite mtaa kwa mtaa kutafuta watoto wa umri wa miaka 14+..Zanzibar nako wasisahau kuna ligi nzuri ya vijana
 
Point ya umaeneo ,hata hivyo wazo lako zuri
 
Chief kocha hastahili lawama hta kidogo tatizo la serengeti boys ni kukosa maandalizi ya maana ...binafsi nilivyoskia tu serengeti boys imeenda arusha kucheza mechi za kirafiki na timu za daraja la pili nikajua kbsa hawatofika mbali , serengeti boys walihitaji kuweka kambi ya maana kwenye nchi zilizopiga hatua kisoka
 
Hzo timu nyingine zlkuwa nchi gani iliyoendelea kisoka? Kila mwaka visngzio ni maandalizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…