Wewe ndo umetuletea gundu.Mie naanglia mapaja ya pisi za colombia tuu hapa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kama huyu centre back wao jersey namba 5 anaupaja hatari
Mpira utakuwa saa kumi na moja unusu, japan na spain. Hapo kutakuwa na game sasa.
Washakula ngapi hawa tausi wa sululuu
Mi nilikuambia Yanga sio ya kuiweka dhamana ukaniona haterHabari zangu kakupa Nani?
Kwendeni zenu gundu mmejiletea wenyewe na mikadi yenu mekundu huko. Wee cheki game saa kumi na moja unusu uone wanaojua boli watoto waki japanWewe ndo umetuletea gundu.
Utafanya mwenzio asajili id mpya🤣🤣Mi nilikuambia Yanga sio ya kuiweka dhamana ukaniona hater
Haya sasa ahadi yako iko wapi sasa?
Huyu mi nilimuambia mapema kuwa labda iwe timu nyingine lakini kwa Yanga sio ya kuiwekea ahadi kama ileUtafanya mwenzio asajili id mpya🤣🤣
Ha ha ha ha ha ha haHuyu mi nilimuambia mapema kuwa labda iwe timu nyingine lakini kwa Yanga sio ya kuiwekea ahadi kama ile
Eti "nitakuwa wa mwisho kuamini Yanga inatolewa makundi club bingwa"
Yanga ni kama masai, unamdhamini lakini ukigeuka kidogo tu ukampa kisogo unakuta kitambo mtu kaishakuashia shuka
Bado Nilikuwa wa mwisho kuamini.Huyu mi nilimuambia mapema kuwa labda iwe timu nyingine lakini kwa Yanga sio ya kuiwekea ahadi kama ile
Eti "nitakuwa wa mwisho kuamini Yanga inatolewa makundi club bingwa"
Yanga ni kama masai, unamdhamini lakini ukigeuka kidogo tu ukampa kisogo unakuta kitambo mtu kaishakuachia shuka
Afu bado jeuri?Bado Nilikuwa wa mwisho kuamini.