U17 WWC QF Colombia vs Tananzia

U17 WWC QF Colombia vs Tananzia

Mie naanglia mapaja ya pisi za colombia tuu hapa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kama huyu centre back wao jersey namba 5 anaupaja hatari

Mpira utakuwa saa kumi na moja unusu, japan na spain. Hapo kutakuwa na game sasa.
Wewe ndo umetuletea gundu.
 
Kwa mpira huo hakuna jipya. Hawana game discipline.
 
Hongera kwa mabinti, wamepambana na hadi kufikia hapo wamejitahidi mno
 
Utafanya mwenzio asajili id mpya🤣🤣
Huyu mi nilimuambia mapema kuwa labda iwe timu nyingine lakini kwa Yanga sio ya kuiwekea ahadi kama ile

Eti "nitakuwa wa mwisho kuamini Yanga inatolewa makundi club bingwa"

Yanga ni kama masai, unamdhamini lakini ukigeuka kidogo tu ukampa kisogo unakuta kitambo mtu kaishakuachia shuka
 
Yanga ni kama masai, unamdhamini lakini ukigeuka kidogo tu ukampa kisogo unakuta kitambo mtu kaishakuashia shuka
Ha ha ha ha ha ha ha
 
Huyu mi nilimuambia mapema kuwa labda iwe timu nyingine lakini kwa Yanga sio ya kuiwekea ahadi kama ile

Eti "nitakuwa wa mwisho kuamini Yanga inatolewa makundi club bingwa"

Yanga ni kama masai, unamdhamini lakini ukigeuka kidogo tu ukampa kisogo unakuta kitambo mtu kaishakuachia shuka
Bado Nilikuwa wa mwisho kuamini.
 
Back
Top Bottom