Ua jekundu la Wema Sepetu limeishia wapi?

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Dah Ila wema jamani anapenda KIKI , kile kipindi cha utambulisho wa mboso alivyoalikwa na WCB na kukumbatiana na domo bhasi Madam ndo akajiona karudiana na diamond , akaanza kujipendekeza kwa kina esma na kuitana Wifi , mikwara ikaendelea akapost UA jelundu kumgeza zari madai eti yupo in love na diamond , bibie akaongeza speed akawa promota wa diamond karanga, mara Kidogo tukasikia na yeye atakua mmoja wa wafanyakazi wa Wasafi Tv

Mambo yakaja kuharibika kwenye Usiku wa Tuzo , Diamond kukumbatiana na hamisa kweupe tena Mbele ya umma, naona bidada alitamani kuharisha kwa wivu , huyo ndo domo bhana ukisikia mwingine photocopy, baba ntilie aka kivuruge, hamisa mwenzio kashajizoelezea, hata domo amtukane amkane na kumkshfu kesho akiitwa madale bibie huyo anajipeleka, naona Mama ubaya ukaamua ku surrender kwa hamisa, Ila ulijiaibisha sana jamani , sio kwa kujipendekeza kule halafu unageukwa live tena ukumbini na wewe upo
 
Ngoja niweke siti hapa nikisubiri mipovuu ya team husika
 
Alikuwa anajijomentisha kwa dai kua utaenda na nanii red kapeti ahhahahaajaj siku hiyo alitoa macho ya wivu na toka hapo kajikaliaa kimyaaa ye alisdhan anarudiwa yeye maskini dimond hana wazo
 
Hakuna kitu kibaya sana duniani kama mwanamke kumtegemea mwanaume kwa kila kitu aisee atakugeuza na kufanya chochote kile anachojisikia sababu ya utegemezi,,,huyo bidada atasumbuka sana maana hawezi kujisimamia, na miaka yake nayo inayoyoma
 
Zile zilikua kik tu za kumkomesha Zari. Wema na Diamond kila mtu ana mishe zake japo wanakulana kimtindo ila sasa hivi wapo kibiznes zaid na Diamond ndo anamtumia Wema kama tunavyojua Wema huwa ni daraja kuvushia wengine.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daraja la kigamboni ila ile ya sinema zetu mondi na missa ilimuumiza sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…