Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Tatizo si yeye ni mayai yake na kule kuamini bado yeye mdogoIt’s so sad, wenzie wana watoto wa Mond
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo si yeye ni mayai yake na kule kuamini bado yeye mdogoIt’s so sad, wenzie wana watoto wa Mond
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mimi hapana kwa kweli!Hawara hatongizwi. Mkionana hamu zikizidi mnavutana pembeni mnamalizana
Hapana apiltilize kabisa politics palacePita kushoto, kwa mbele utaona bangoJukwaa la Hoja na habari mchanganyiko ndo hapo kwako
Mbaya sana hiyo mkija public mnajifanya hakuna kituMond anapiga kisela
Sema inaumagaaaMbaya sana hiyo mkija public mnajifanya hakuna kitu
Hayo ni mapenzi gani sasa?Mbaya sana hiyo mkija public mnajifanya hakuna kitu
Kutoa mimba ya mond kipindi kile nadhan anaumia snaa hakufikiria kuwa diamond atakuja kuwa juu alidhan nyota yake ndio inambeba asipokuwa nae itazimaTatizo si yeye ni mayai yake na kule kuamini bado yeye mdogo
Inategemea.[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mimi hapana kwa kweli!
Once its done no turning back!
Yap na wanaume wa hivyo wengi hawanaga upendoSema inaumagaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapana apiltilize kabisa politics palace
Hivi alishatoa na ya Mond? Pole yake. Majuto ni mjukuuKutoa mimba ya mond kipindi kile nadhan anaumia snaa hakufikiria kuwa diamond atakuja kuwa juu alidhan nyota yake ndio inambeba asipokuwa nae itazima
Ya jumbe,kanumba,daimond ,alianzaga kula na mlenda mimba inapenda mlenda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi alishatoa na ya Mond? Pole yake. Majuto ni mjukuu
Inaonekana ni bingwa wa dry chamaYa jumbe,kanumba,daimond ,alianzaga kula na mlenda mimba inapenda mlenda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ya Idriss umesahauYa jumbe,kanumba,daimond ,alianzaga kula na mlenda mimba inapenda mlenda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa hivi anazsikia tu kwa wengine
Kama unakuwa upo upo na hujapata mwanaume mwenye msimamo na wewe unaweza kumbushia lakin kama umepata real man ukikumbushia unakuwa huna maanaInategemea.
Ya idriss si ilitoka tu yenyewe au aliitoa,maana zile alizitoa,nimekumbuka hakubeba ya charles baba kweliiYa Idriss umesahau
Huwezi pata mwanaume real ukarudi kwa ex. Kwanza unakua unafuata nini sasa. Ila ukiwa single hizi one two one two lazima maana utalala na nani sasaKama unakuwa upo upo na hujapata mwanaume mwenye msimamo na wewe unaweza kumbushia lakin kama umepata real man ukikumbushia unakuwa huna maana
Dry chama tamu ila wewe watuletee kinga tu jamaniInaonekana ni bingwa wa dry chama