Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] chezea mwanamke weye sio mwenzioo katuuHalaf amalizie jukwaa la biashara na ujasiliamali kama kumuelekeza imetoshaa akigandana na sisi atakoma mi nawekewa bando,nalishwa,navishwa,na soon naanza kujengewa ajilinganishwe aone
Apambane na majukwa yake tu hana namna huku atuache wenyewe binamuu!!akamalizie stress jukwaa la intelligence kabisaa
Habari sipati!!!maisha yanasonga