Ua kabisa, uwaangamize, asema Bwana, fanya yote kama nilivyokuamuru

Ua kabisa, uwaangamize, asema Bwana, fanya yote kama nilivyokuamuru

Ibilisi Mjalaana

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2019
Posts
8,297
Reaction score
16,529
Je Yesu ambae ndo Mungu ni katili kiasi hiki?

1. Kumbukumbu la Torati 20:16-17
“Lakini katika miji ya mataifa haya akupayo Bwana, Mungu wako, kuwa urithi, hutawaacha hai mtu ye yote...”

2. 1 Samweli 15:3
“Sasa nenda, ukawapige Amaleki, ukaangamize kabisa vitu vyote walivyo navyo, wala usiwaachilie; uwauwe mume na mke, mtoto na mtoto anayenyonya, ng’ombe na kondoo, ngamia na punda.”

3. Yoshua 6:21
“Wakaangamiza kabisa kila kitu kilichokuwa mjini, mwanamume na mwanamke, kijana na mzee, ng’ombe na kondoo na punda, kwa makali ya upanga.”

4. Hesabu 31:17-18
“Basi sasa, waueni wavulana wote; na kila mwanamke aliyekwisha kujua mume kwa kulala naye, mwueni.”

5. Zaburi 137:9
“Heri atakayewakamata watoto wako na kuwaponya mwambani!”

6. Yeremia 50:21
“…Ua kabisa, uwaangamize, asema Bwana, fanya yote kama nilivyokuamuru.”

7. Hosea 13:16
“Samaria atachukuliwa hatiani, kwa maana ameasi dhidi ya Mungu wake. Watanguliwa kwa upanga; watoto wao wachanga watavunjwavunjwa, wanawake wao wenye mimba watatumbuliwa.”

8. Kumbukumbu la Torati 7:2
“Na Bwana Mungu wako atakapowatia mikononi mwako, nawe ukawapiga, waangamize kabisa…”

9. Yoshua 10:40
“Yoshua akapiga nchi yote… Hakusaza chochote kilicho hai, kama Bwana, Mungu wa Israeli, alivyomwagiza.”

10. Ezekieli 9:5-6
“Akawaambia wale wengine, ‘Piteni mji nyuma yake, mkiua; jicho lenu lisione huruma, wala msiache. Muweni wazee, vijana, wanawali, watoto wachanga na wanawake...’”
 
Tatizo ni wewe ume quote mistari badala ya kusoma context ya ni kwanini amri hizo zilitolewa.

Hujui ya kuwa Mungu huwaangamiza waovu?

Na imeandikwa pia, wenye haki watashuhudia anguko la waovu.
 
2. 1 Samweli 15:3
“Sasa nenda, ukawapige Amaleki, ukaangamize kabisa vitu vyote walivyo navyo, wala usiwaachilie; uwauwe mume na mke, mtoto na mtoto anayenyonya, ng’ombe na kondoo, ngamia na punda.”
Hii ni brutal kuliko naona ndio mbinu wanayo tumia IDF
 
Tatizo ni wewe ume quote mistari badala ya kusoma context ya ni kwanini amri hizo zilitolewa.

Hujui ya kuwa Mungu huwaangamiza waovu?

Na imeandikwa pia, wenye haki watashuhudia anguko la waovu.

2. 1 Samweli 15:3
“Sasa nenda, ukawapige Amaleki, ukaangamize kabisa vitu vyote walivyo navyo, wala usiwaachilie; uwauwe mume na mke, mtoto na mtoto anayenyonya, ng’ombe na kondoo, ngamia na punda.”

Wana uovu gani hapo nilipo koleza ?
 
Ndio maana mimi huwa siwashangai sana IDF wanayofanya
 
Back
Top Bottom