Iyerdoy
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 4,090
- 5,248
Hakika. wanatuvurugia mipango. Yule jamaaangu kule amesema atachinja ndafu.britanica ndiye huwa na code za uhakika, simuoni humu, hawa wengine hatuwaeliwi
Hakika. wanatuvurugia mipango. Yule jamaaangu kule amesema atachinja ndafu.britanica ndiye huwa na code za uhakika, simuoni humu, hawa wengine hatuwaeliwi
😁😁 Labda tumuite yule nan sigara wa bakitaKiswahili kigumu wkt mwingine hujui km meseji inakutaka ufurahi au ukasirike.
Waliua hadi watu wasio na hatiaNikikumbuka Oct 29.... Inaumiza sanaaaa....
Stroke hiyo..... Ila naambiwa wanataka kumtoroshea Oman kisha wamepeleke Uturuki kwa matibabu
Ila kimamam anaumwa..Propaganda zinazoendelea ni kwa ajili ya watu wasi focus na maandamano ya kuwakumbuka mashujaa wetu wa Oct 2025
Stroke huwa inatibika au inadhibitika tu kwa muda ila athari zake kwenye viungo zinabaki palepale?Stroke hiyo..... Ila naambiwa wanataka kumtoroshea Oman kisha wamepeleke Uturuki kwa matibabu
Can you confirm that mkuu?Ila kimamam anaumwa..
Hizo ni za chini ya Kapeti...Can you confirm that mkuu?
😅😅😅😅😅😅 leo umenichekesha gentomeninadhani ni afadhali mdomo uwe wazi kuliko vitu vingine aise 🐒
Hata Magufuli walianzaga kuzungusha hivi hivi picha kipindi kile kunatetesi anaumwa..
Hata Magufuli walianzaga kuzungusha hivi hivi picha kipindi kile kunatetesi anaumwa..
Kama ni stroke umepiga mkono wa kulia?
sifahamu😅😅😅😅😅😅 leo umenichekesha gentomeni

Endelea na sintofahamu...kikubwa mm nimechekasifahamu![]()
nimefurahi sana aise kwa feedback 🐒Endelea na sintofahamu...kikubwa mm nimecheka
Uthibitisho wa kwamba anaumwa uko wapi mkuu? Maana natamani sana hata leo atangulie ardhiniIla kimamam anaumwa..