Uadilifu Malawi: Mwanasheria aliyemsaidia Rais Chakwera kushinda kesi ya uchaguzi akataa uteuzi wa kuwa Waziri wa Sheria na Haki

Uadilifu Malawi: Mwanasheria aliyemsaidia Rais Chakwera kushinda kesi ya uchaguzi akataa uteuzi wa kuwa Waziri wa Sheria na Haki

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Mwanasheria wa Malawi, Mordecai Msiska amekataa uteuzi wa kuwa waziri wa Sheria na haki kwenye baraza la Rais Lazarus Chakwera.
_
Anasema itaonekana kama fadhila au thawabu baada ya kumsaidia Rais Chakwera kushinda kesi dhidi mpinzani wake (Mutharika), ambaye anadaiwa aliiba kura kwenye uchaguzi uliompa ushindi.

Jamani watanzania wenzangu kwa hili lingefanyika kwetu kuna mtu angekataa kula shavu la uwaziri?

Tuna mambo mengi sana ya kujifunza kwa majirani zetu maana elimu haina mwisho.

FB_IMG_1593548272756.jpeg


Msiska turns down Justice minister role as it would appear ‘rewarding’

Malawi’s prominent lawyer Mordecai Msiska, Senior Counsel (SC) has turned down a ministerial post in President Lazarus Chakwera’s Cabinet as he claimed it would appear as a reward having successfully represented Chakwera in the case that Constitutional Court threw out the results of the May 2019 election which electoral commission initially declared former president Peter Mutharika winner.

Modecai Msisha SC: Thanks, but no thanks

Msiska— was Chakwera’s lead lawyer in the presidential election nullification case that gifted him the presidency— and the President appointed him on Monday to be Minister of Justice and Constitutional Affairs, succeeding Mutharika appointee Bright Msaka.

But Msiska has said he communicated the decision to the appointing authority appreciation for being considered for the post, though he would not be taking the offer.

The respect lawyer said he does not consider it appropriate to take the post. “It would appear as if I am being rewarded in my role in the elections case,” said Msiska.

Msiska said he has other commitments to do with his law firm and is convinced that there are many other lawyers who could take up the post.

“I advised that I could not take up the appointment for personal reasons; just a matter of certain preferences and obligations that I have,” he said on Tuesday.

Msiska said he has obligations with members of his staff at the legal firm he owns. “I could not walk away from these obligations,” he said.

“Having been lead counsel in the elections case and my getting on to the administration particularly Minister of Justice will unduly affect the process that the governmental systems have to address,” said Msiska.

However, private practice lawyer Dr Chikosa Silungwe, a Vice-President Saulos Chilima’s ally and lead lawyer in the same case, is the new Attorney General, replacing Kalekeni Kaphale who the courts chided for being partisan, especially in his handling of the presidential election nullification case.

Commentators say Msiska’s reasons for turning down the Cabinet appointment make sense. They argue that appearances in law are very important and it’s very noble for Msiska to behave in this way, saying it speaks volume of his character and integrity.

President Chakwera said he made the appointments in consultation with Vice-President Chilima, who is also he line Minister for the National Planning Commission—a powerful new government agency that overseas not just implementation of long-term vision and strategy, but is also responsible for formulation of the country’s flagship projects and programmes for implementation.

Chakwera said his Cabinet will have not more than 30 people, of which 40 percent will be women
 
Natamani ingekuwa hivyo hapa kwetu pia, lakini hawa wahuni na wachumia tumbo watasifia kila UPUUZI ili tu wapate TEUZI. Hata humo wapo wengi tu ambao hawajali kabisa maslahi ya Nchi bali kujaza matumbo yao.
 
Hakika tuna mengi sana ya kujifunza kutoka kwa majirani zetu wa malawi.
Kuanzia:

1. Uchaguzi wa kwanza
2. Mahakama kutengua Uchaguzi wa awali na kusimamia haki na uadilifu hata kama haikumpendeza rais wa wakati huo Prof Ather Mutharika
3. Tume ya Uchaguzi kusimamia Uchaguzi huru na wa haki na kisha kumtangaza mpinzani Dr. Chakwera kuwa mshindi halali.
4. Waziri mteule wa Sheria kukataa uteuzi kwa kulinda utu na integrity yake kuwa itaonekana ni fadhila kwa kumsaidia kushinda kesi Dr. Chakwera.

Ila Africa haijawahi kuishiwa na vituko na vimbwanga leo hii Dr. Chakwera kaingia madarakani kidemokrasia ila baada ya kujizatiti madarakani anaweza geuka dikteta wa mkono wa chuma.

Tumeshuhudia kwa wengi sana wameingia kwa kupambana na mabavu ya madikteta nao walipoingia madarakani wakafanya yale yale ya watangulizi wao. Na kisha kung'ang'ania madaraka kwa karne na dahari.

Rais Obama aliwahi kusema "Afrika haihitaji viongozi mahiri bali taasisi mahiri na imara(competent Institutions)"
Ubaya wa viongozi wa Kiafrika wanajenga personality na sio Institutions imara.

Tulichoshuhudia nchini malawi ni kwa angalau wao wanaanza kuwa na taasisi imara na mahiri.

Yetu macho ngoja tuone nae rais mpya ataendelezaje demokrasia nchini malawi na kumkabidhi atakayefuata pale muda wake utakapokwisha.
 
Ingekuwa lissu angewahi magogoni saa kumi na moja alifajiri
Tatizo lako wewe unakipenda chama kuliko hata unavyowapenda wazazi wako. Hata kabla hajaingia KWENYE siasa Tundu LISSU alitiwa ndani kwa kuwatetea but bila malipo yoyote wananchi wa Bulyanhulu ambao serikali ya CCM iliwapora ardhi yao na wengine walizikwa hai kwa kugoma kuondoka kwenye migodi yao ili wapewe wawekezaji mabeberu.
 
Hilo ni vuvuzela, sidhani kama kuna haja hata ya ku comment kwenye post zake
Tatizo lako wewe unakipenda chama kuliko hata unavyowapenda wazazi wako. Hata kabla hajaingia KWENYE siasa Tundu LISSU alitiwa ndani kwa kuwatetea but bila malipo yoyote wananchi wa Bulyanhulu ambao serikali ya CCM iliwapora ardhi yao na wengine walizikwa hai kwa kugoma kuondoka kwenye migodi yao ili wapewe wawekezaji mabeberu
 
Mwanasheria wa Malawi, Mordecai Msiska amekataa uteuzi wa kuwa waziri wa Sheria na haki kwenye baraza la Rais Lazarus Chakwera.
_
Anasema itaonekana kama fadhila au thawabu baada ya kumsaidia Rais Chakwera kushinda kesi dhidi mpinzani wake (Mutharika), ambaye anadaiwa aliiba kura kwenye uchaguzi uliompa ushindi.

Jamani watanzania wenzangu kwa hili lingefanyika kwetu kuna mtu angekataa kula shavu la uwaziri?

Tuna mambo mengi sana ya kujifunza kwa majirani zetu maana elimu haina mwisho. View attachment 1493864
Hawa wakina ndugai hawana ujasiri, muda wote wao ni kujikomba komba tu.
 
Wamalawi sijui haya maadili wamejifunzia wapi haki ya mungu
Halafu miaka michache iliyopita walikuwa chini ya udikteta mkali wa Dr. Hastings Kamuzu Banda labda hii iliwapa akili baada ya udukteta ule; inawezekana sisi tulilemazwa na malezi ya Mwl. Nyerere tukajiona wote ni ndugu na udugu ule ungeendelea vile hata baada ya Mwl. tukajisahau kujenga taasisi imara badala yake tukakabidhi maisha yetu mikononi mwa watu! Lol! kumbe kuna makatili miongoni mwetu sura zao zikaanza kuonekana baada ya Mwl. tuliyemwona kama baba kutangulia.
 
Hiyo ni kweli ila sasa nafikiri ni muda muafaka tukajifunza kwa wenzetu Malawi ili nasi tutoke usingizini
Halafu miaka michache iliyopita walikuwa chini ya udikteta mkali wa Dr. Hastings Kamuzu Banda labda hii iliwapa akili baada ya udukteta ule; inawezekana sisi tulilemazwa na malezi ya Mwl. Nyerere tukajiona wote ni ndugu na udugu ule ungeendelea vile hata baada ya Mwl. tukajisahau kujenga taasisi imara badala yake tukakabidhi maisha yetu mikononi mwa watu! Lol! kumbe kuna makatili miongoni mwetu sura zao zikaanza kuonekana baada ya Mwl. tuliyemwona kama baba kutangulia.
 
Natamani ingekuwa hivyo hapa kwetu pia, lakini hawa wahuni na wachumia tumbo watasifia kila UPUUZI ili tu wapate TEUZI. Hata humo wapo wengi tu ambao hawajali kabisa maslahi ya Nchi bali kujaza matumbo yao.
Watanzania baada ya kulelewa vibaya na CCM kwa karibu Silver Jubilee nzima wamekuwa watu wa hovyo wasiofaa kutolewa mfano wowote wa maana.

Wao hata wakiambiwa watoe wake zao kwa mtawala mkuu anapofanya ziara mikoani wamburudishe watakubali tu, angalia leo jinsi viongozi wa kidini walivoacha kumuabudu Mungu na sasa wanaabudu mtu! This is a land of the cursed folks. Very hopeless.
 
Back
Top Bottom