uadimu wa mwanaume aliyekamilika

Rejao upo kila jukwaa? Wapi mwita25? Msalimie faiza foxy na ritz.
 
Maandiko yanasema , kila ajing'atae mtambueni ni mtenda zambi. Source: dini flani ya bangaladesh

wale wanaodanganya, ufalme wa mbinguni watausikia kwa majirani tu.
Source: mpwapwa, ufufuo na uzima.
 
wale wanaodanganya, ufalme wa mbinguni watausikia kwa majirani tu.
Source: mpwapwa, ufufuo na uzima.
Nashkuru kumpata mtu wa kuhubiri nae neno kwa leo, yaani leo nimeamka na mzuka wa paradiso kweli.
Wahubirie pia kwamba pombe ni mkojo wa ibliiis source: jirani yangu mlevi alotubia
 
Nina dedikeshen lako lakini usinitafte leo.

Utabiri: Basi Judgement na mikwala yake litajidai kuja kusoma hii post

Ntaachaje kupita klorokwini ? Hata miezi miwili haijapita nimetoka kulipa mifweza ya fees $ 4500
za huyu bibie!
Plus posho ndogo ndogo!
Hii meli ieleayo haikushuka from mbingu !
Wajengaji tupo.
 
Last edited by a moderator:
Ntaachaje kupita klorokwini ? Hata miezi miwili haijapita nimetoka kulipa mifweza ya fees $ 4500
za huyu bibie!
Plus posho ndogo ndogo!
Hii meli ieleayo haikushuka from mbingu !
Wajengaji tupo.
Judgement

Nakuaminia jibaba, weka mambo sawa halaf usinisahau kadi ya mnuso. Pilau la mwisho nilikula kule Igunga.
 
Last edited by a moderator:
Nashkuru kumpata mtu wa kuhubiri nae neno kwa leo, yaani leo nimeamka na mzuka wa paradiso kweli.
Wahubirie pia kwamba pombe ni mkojo wa ibliiis source: jirani yangu mlevi alotubia

haleluyaaaa baba paroko, bila kusahau bangi ni chakula cha malaika mtoa roho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…