and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
"Dubai is a city that has sold itself to the world as the epicenter of wealth and ostentation. But what they don't want you to know is that behind this unquestionable glitter lies a reality that never appears in commercials or Instagram photos: poverty. Yes, in the same city that boasts the tallest building in the world and vending machines that sell gold, thousands of people live in conditions that could barely be called human.Sounds contradictory, doesn't it? But while some collect supercars and stay in suites costing millions, others survive in crowded warehouses, clandestine slums or even rusty boats.Today, Bello Mundo invites you to look beyond the glittering façade. We're going to explore a side that Dubai tries to hide at all costs - a side that few know about and that many prefer to ignore. If you thought Dubai was just a city of dreams, it's time to discover the shocking truth behind the skyscrapers."Bongo NGOs kama zote ila matukio kama yote na umaskini hadi kwenye kope. Wakati Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), ambapo Dubai ni mojawapo ya falme zake, hawana hizo mbanga ila wananchi wana-enjoy maisha.
Siku tukiiondosha ccm tutaizidi dubei
Ndoto za mchana. Amka nduguSiku tukiiondosha ccm tutaizidi dubei
Ngumbaru sisi kwa ujuaji hatujambo"Dubai is a city that has sold itself to the world as the epicenter of wealth and ostentation. But what they don't want you to know is that behind this unquestionable glitter lies a reality that never appears in commercials or Instagram photos: poverty. Yes, in the same city that boasts the tallest building in the world and vending machines that sell gold, thousands of people live in conditions that could barely be called human.Sounds contradictory, doesn't it? But while some collect supercars and stay in suites costing millions, others survive in crowded warehouses, clandestine slums or even rusty boats.Today, Bello Mundo invites you to look beyond the glittering façade. We're going to explore a side that Dubai tries to hide at all costs - a side that few know about and that many prefer to ignore. If you thought Dubai was just a city of dreams, it's time to discover the shocking truth behind the skyscrapers."
you can google it
Nani amekuambia CCM ndio tatizo,nchi nyingi tu za Kiafrika zimebadilisha vyama ni ipi inaifikia hiyo UE kwa maendeleo??Siku tukiiondosha ccm tutaizidi dubei
Ila watanzania hatuna focus. CCM imekamata vyombo vyote vya maamuzi, kuanzia wenyeviti wa mitaa na vijiji, halmashauri zote, bunge na Serikali. Ila Bado huoni kwamba wao ndio chanzo?. Kama vyombo vya maamuzi wanavyo ila mambo ndio yale yale je itakuwaje kwa Kiongozi Mmoja tu? CCM ni tatizo tukubali.Nani amekuambia CCM ndio tatizo,nchi nyingi tu za Kiafrika zimebadilisha vyama ni ipi inaifikia hiyo UE kwa maendeleo??
Umasikini wa Africa umetengenezwa na wenye nguvu za kiuchumi,ili kuondoka na huo umasikini unahitaji viongozi jasiri kama akina Traore,Putin au Xi-Jinping.
Wabunge na viongozi wa chini wanapatikanaje?Bongo NGOs kama zote ila matukio kama yote UKIMWI na umaskini hadi kwenye kope. Wakati Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), ambapo Dubai ni mojawapo ya falme zake, hawana hizo mbanga ila wananchi wana-enjoy maisha.
Ukiweza kuwaza vizuri utagundua tatizo la tanzania wala ni mifumo ya kiutawala mibovu na ya ubinafsi iliyo asisiwa na nyerere na chama chakeBongo NGOs kama zote ila matukio kama yote na umaskini hadi kwenye kope. Wakati UAE (Dubai) hawana hizo mbanga ila wananchi wana-enjoy maisha
Hakuna maendeleo ya kweli bila demolrasia mkuu.Bongo NGOs kama zote ila matukio kama yote UKIMWI na umaskini hadi kwenye kope. Wakati Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), ambapo Dubai ni mojawapo ya falme zake, hawana hizo mbanga ila wananchi wana-enjoy maisha.
Bongo NGOs kama zote ila matukio kama yote UKIMWI na umaskini hadi kwenye kope. Wakati Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), ambapo Dubai ni mojawapo ya falme zake, hawana hizo mbanga ila wananchi wana-enjoy maisha.
Huifahamu UAE vizuri weweBongo NGOs kama zote ila matukio kama yote UKIMWI na umaskini hadi kwenye kope. Wakati Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), ambapo Dubai ni mojawapo ya falme zake, hawana hizo mbanga ila wananchi wana-enjoy maisha.